Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Aisee kugongewa mke inauma sana.

Imagine jamaa anamvua chupi, anaipiga mbunye dole la kati, anaipapasa papasa. Anaushika mdudu anaufikicha kwenye mashavu. Mbunye inaloa vizuri kisha anaingiza inaenea. Jamaa anapiga tako chap chap huku wife analegeza mimacho

Kila ukikumbuka hayo unaanza kulia kiume
Na kuna ile inatoka nje kwa bahati mbaya, chap mdada anaidaka kuirudishia.
 
JamiiForums Founder Maxence Melo pamoja na Moderators wako Refiner, Payge, Active, Paw, YinYang, Moderator, Cookie na JamiiForums huyu Member hajaanza KUNICHOKOZA, KUNITUKANA, KUNISHAMBULIA na KUNIDHALILISHA leo na nasikitika hamumuoni na mnamuacha aendelee hivyo UVUMILIVU JUU YAKE UKINISHINDA NA KUAMUA KUJIBU MAPIGO YANGU MAKALI NA YA KUTUKUKA AMBAYO NAJUA YATAMUUMIZA NA KUMSHIKISHA ADABU TAFADHALI TUSILAUMIANE sawa? Kama mmeshindwa Kumalizana nae niambieni ili nimalize Shughuli mapema na tuheshimiane hapa JamiiForums kwani nina uhakika kuwa haniwezi kwa Vita Kali ya Maneno kama mkituruhusu TUPAMBANE hapa.
Chizi Maarifa
 
Asa wew utakaaje kizembe na wakat upo vitani ?!hio ndio inafaa sasa ukimuacha mna watoto na ukimuacha ataliwa na mwamba had jamaa achike ndio atakuja kulia wew ishi nae hivo uone atakonda kumbe wew huna time nae
Mkuu njia yako atakonda kama unavyosema iwapo bado yupo interested na wewe.

La sivyo utazidi kumnenepesha na kumnawirisha kwa matunzo unayompa huku akifurahia uhuru unaompa kufanya mambo yake huko nje.
 
japo jela haina mwenyewe lakin vitu vingine ni kujitakia mwenyewe na kuvuruga maisha yako uliyoyapambania kwa jasho na damu
Luckily hii nchi nonayoishi jela ni laini sana lakini hata ikibidi kuwa Butimba, Segadance au Shimo la Tewa yote ni mulemule tu, hawajajengewa wanyama hayo magereza bali binadamu.
 
Aisee kugongewa mke inauma sana.

Imagine jamaa anamvua chupi, anaipiga mbunye dole la kati, anaipapasa papasa. Anaushika mdudu anaufikicha kwenye mashavu. Mbunye inaloa vizuri kisha anaingiza inaenea. Jamaa anapiga tako chap chap huku wife analegeza mimacho

Kila ukikumbuka hayo unaanza kulia kiume
Mkuu naona unazidi kuleta hasira tu kwenye hii threed 😁😁😁
 
Luckily hii nchi nonayoishi jela ni laini sana lakini hata ikibidi kuwa Butimba, Segadance au Shimo la Tewa yote ni mulemule tu, hawajajengewa wanyama hayo magereza bali binadamu.
Ni kweli, magereza wamejengewa binadamu—lakini si kila binadamu anatoka akiwa yule yule. Kuna waliobaki kule kimwili, na kuna waliotoka lakini roho zao zilishakufa zamani. Usijidanganye, si kila gharama unalipa na mwili pekee.
 
Si unajua kabisa kit*mbo kinavyo fanyika mkuu au napo uelezewe 😅😅😅dadeki
 
mke wako analiwa mtaa mzima unajua kasoro wewe 😂😂

watu mtaani wanakuona mngese tu. wewe unavimba,

huwezi pona, ni permanent stain in the heart
As the old saying goes, 'the husband is always the last one to know'.
Yaani mpaka wewe umejua inakuwa dunia nzima imeshajua, inapoongelewa story ya mkeo ukitokea wanabadilisha mada. Mkeo anakusababishia kudharaulika na kuwa laughing stock wa kitongoji.
 
Me mchumba wangu sio mke kanicheat mara tatu miaka ya 2022 na 23 nkampiga tukio moja miaka ya 2024 hakuamini macho yake mpk leo ananichukiaga
 
Ni kweli, magereza wamejengewa binadamu—lakini si kila binadamu anatoka akiwa yule yule. Kuna waliobaki kule kimwili, na kuna waliotoka lakini roho zao zilishakufa zamani. Usijidanganye, si kila gharama unalipa na mwili pekee.
I know my mental and physical strength more than anybody, I've been through a lot in life. Penitentiary is just small experience.
 
Me mchumba wangu sio mke kanicheat mara tatu miaka ya 2022 na 23 nkampiga tukio moja miaka ya 2024 hakuamini macho yake mpk leo ananichukiaga
hiyo sio solution, unamwacha akiwa high sana kimapenzi.

wewe una zima simu, ex asikuongelee vibaya mzee . siku ukioa anatakiwa kusema yule kapata mume.
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Nawewe saliti. Tafuta katoto kabichi ka chuo kale nako maisha Jumamosi moja.
 
Pole sana ni mtihani mkubwa hasa ukikumbuka watoto wako kuwacha ni ngumu vumilia Mungu kuna aiku atakupa nguvu
Watoto kwasasa hajui kama mama yao anakosa
Mm niaeme pole
 
Niliwahi salitiwa na mpenzi (huyu manzi nakiri tulipendana sana na bado tunapendana )alinisaliti tena zaidi ya mara moja kwasababu nilikua nampa kipigo sana ila baadae nikamsamehe tukarudiana kwa muda mfupi baadae tulitengana kila mtu akaendelea na maisha yake...miaka miwili mbele tukarudiana tena awamu hii ndio nilikiri huyu manzi tunapendana sanaaa ,miezi imepita kama miwili hiivi nilimuacha kwasababu niliona kama sina future nae and by then mimi nina mtoto halfu naona yeye ni kama ameshafall in love na anataka tuzae nae ili tuishi nae maisha yoteee...

WAKUU HII IMEKAAJE HUYU MWANAMKE NI KWAMBA NDIO AMEUMBIWA AWE WANGU TU AMA???
 
Back
Top Bottom