Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Ulipotaka kumuoa hukupata ushauri hapa. Sasa usivunje ndoa yako kwa utakayoambiwa hapa. Umepata ukweli na umechukua hatua, hapa utapotezwa tu na watu ambao hata hawajawahi kupitia unayopitia.
 
Km hujamkuta bikra kausha kabla hujamuoa wamemchapa wangapi, idadi huijui haya kausha cha kufanya na wewe aliekukazia tafuta mkewe mkaze ili ubao usomeke GG
Halafu wewe mkali huwa unazingua sana 😄😄 , mimi binafsi huwa sivutiwi na mwanamke bikra.
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Alitoa kamisheni ya mwaka😂😂🫴
 
Una stress za mahusiano super woman
Nani mimi au wewe? , mimi na mume wangu damu damu kila mtu alijua kumchagua mwenzake vyema tupo ndani ya ndoa imara huu mwaka wa 10 na hatuna stress na hatuwezi kupigana kivyovyote vile
 
Halafu wewe mkali huwa unazingua sana 😄😄 , mimi binafsi huwa sivutiwi na mwanamke bikra.
Km umeoa mwanamke sio bikra suala la kugongewa lipo tu, kwaa hio ukigundua mkeo ambae hukumtoa bikra anagongwa na mkuda fulani kausha tu kikubwa mkanye yaishe ila kausha bikra hukuitoa wewe ulikuta kuna muhuni alishagapita nayo kitambo sana, kausha
 
Nani mimi au wewe? , mimi na mume wangu damu damu kila mtu alijua kumchagua mwenzake vyema tupo ndani ya ndoa imara huu mwaka wa 10 na hatuna stress na hatuwezi kupigana kivyovyote vile
Na mechi umeuza mara ngapi?
 
Ungefanya nini wewe? Acha kujishebedua mikanda unaweshwa km kawaida na kuliwa unaliwa na malengelenge yako mwilini kufidia machungu nakuongeza mimba nyingine ukitaka kutoa katoe ila ishaingia, ongea kingine
Ungeenda kunyea debe na fidia ungelipa 😏
 
Km umeoa mwanamke sio bikra suala la kugongewa lipo tu, kwaa hio ukigundua mkeo ambae hukumtoa bikra anagongwa na mkuda fulani kausha tu kikubwa mkanye yaishe ila kausha bikra ukuitoa wewe ulikuta kuna muhuni alishaga pita nayo kitambo sana, kausha
Aliwe tu ili mradi nikila mimi 🐈 awe salama kiafya tu
 
Ungeenda kunyea debe na fidia ungelipa 😏
Aah wee huna huo uwezo kumbe ungekimbilia huko? Wewe ndio hamna kabisa ulisikia wapi mke anamfunga mume au ugomvi wa mke na mume unaingiliwa nani alikwambia?
 
Sijawahi na siwezi kumsaheme msaliti awe ndugu au rafiki so siwezi kufanya kitu ambacho sitaki nifanyiwe
Sasa mboni ukasema ungekua wewe? Maana yake wewe huna tofauti na huyo alieuza mechi akiwa dukani wote mnauza ila kwa style tofauti, wewe unauzia ofisini kwako au sio?
 
Aah wee huna huo uwezo kumbe ungekimbilia huko? Wewe ndio hamna kabisa ulisikia wapi mke anamfunga mume au ugomvi wa mke na mume unaingiliwa nani alikwambia?
muulize Fanton Mahal afu revenge zipo za aina nyingi ni bora yule anae onyesha revenge wazi wazi kuliko anaefanyia gizani, unapiga piga mke anakaa kimya mwisho wa siku anakutilia dawa ya macho kwenye chakula unakufa kwa presha na hamna mtu atajua
 
Sasa mboni ukasema ungekua wewe? Maana yake wewe huna tofauti na huyo alieuza mechi akiwa dukani wote mnauza ila kwa style tofauti, wewe unauzia ofisini kwako au sio?
Mie siongelei kuuza mech naongelea kitendo alichofanya huyo bwana akizani akimpiga huyo mke ndo hatauza mechi tena , zaidi alikuwa anajitafutia kesi tuu kwanini asingemwacha huyo mke aende zake huko akendeleee na huyo bwana ake mpya
 
Kampiga sababu kauza uchi kwa mteja wa dukani na wewe ukamsapoti maana yake wewe na yeye hamna tofauti yoyote maana yake siku nikigundua umeuza uchi utaona kuuza uchi ni haki yako sina haki ya kukunyoosha maana uchi ni wako sio wangu au sio?
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute..
Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote,tumeona mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana
Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja
Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha,nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha
Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee
Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu
Naombeni ushauri wana jf hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?

Wote wako hivyo; msamehe tu ndugu yangu ila lazima atarudia; Hukuwa na haja hata ya kumpiga wala!
 
muulize Fanton Mahal afu revenge zipo za aina nyingi ni bora yule anae onyesha revenge wazi wazi kuliko anaefanyia gizani, unapiga piga mke anakaa kimya mwisho wa siku anakutilia dawa ya macho kwenye chakula unakufa kwa presha na hamna mtu atajua
Kwa hio wewe unaona alichofanya mkewe yupo sahihi kabisa hakina alichokosea maana uchi ni wa kwake basi haina haja ya kumuonya hata kwa kumkanda makofi ili siku nyingine asirudie ili aone umechukulia poa siku nyingine akatombwe tena si ndio?
 
Back
Top Bottom