Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Kampiga sababu kauza uchi kwa mteja wa dukani na wewe ukamsapoti maana yake wewe na yeye hamna tofauti yoyote maana yake siku nikigundua umeuza uchi utaona kuuza uchi ni haki yako sina haki ya kukunyoosha maana uchi ni wako sio wangu au sio?
Hapana nipo humu JF siwahi kusapoti usaliti wa aina yoyote ile , ila kitendo cha kujichukulia sheria mkononi sio sahihi, mwanaume imara hufanya maamuzi kwa kutumia akili na sio hasira ndo maana nasema akijichanganya kwa mjanja atavurugwa sana akikupeleka police utasema alinisaliti ndo maana nikapiga au nikaua kama bwana hamisi unafikiri itaishia hapo na kuambiwa okay hauna kosa.
Hamisi si alisema mkewe alirudi saa kumi asubuhi akamsukuma kidogo tuu mbona kahukumiwa kunyongwa je wangeachana mapema yote hayo yangetokea?
 
Unakosea sana kusema hivyo,mimi sio muongeaji hata kidogo ni mpole balaa na hakuna mtu yeyote mwenye haki ya kunishushia kipigo hiyo ni jinai na siwezi kukaa kimya "Kupiga mtu ni kosa la jinai chini ya kifungu cha 241, na adhabu yake inaweza kuwa kifungo cha hadi miaka 5 au faini, au vyote viwili, kulingana na uzito wa madhara yaliyosababishwa"
Tumekusikia Joyce kira
 
Hapana nipo humu JF siwahi kusapoti usaliti wa aina yoyote ile , ila kitendo cha kujichukulia sheria mkononi sio sahihi, mwanaume imara hufanya maamuzi kwa kutumia akili na sio hasira ndo maana nasema akijichanganya kwa mjanja atavurugwa sana akikupeleka police utasema alinisaliti ndo maana nikapiga au nikaua kama bwana hamisi unafikiri itaishia hapo na kuambiwa okay hauna kosa.
Hamisi si alisema mkewe alirudi saa kumi asubuhi akamsukuma kidogo tuu mbona kahukumiwa kunyongwa je wangeachana mapema yote hayo yangetokea?
Wewe bado sijapata point yako unamsapoti alivyoenda kutombwa nje au haumsapoti? Yaan kwenda kutombwa nje kapatia au kakosea? Jibu kisha nikuulize vizuri
 
Tumekusikia Joyce kira
Tena unikome koma koma kabisa na nyie vichwa vigumu mtajifunza in hard way kama bwana hamisi. Mtu unaambiwa vizuri mwanamke au mwanaume akikusaliti achana nae tafuta mwingine unadhani ukipiga ndo solution
 
Wewe bado sijapata point yako unamsapoti alivyoenda kutombwa nje au haumsapoti? Yaan kwenda kutombwa nje kapatia au kakosea? Jibu kisha nikuulize vizuri
hapana kwa kweli sisapoti na huyo bwana hapaswi kumsamehe alivyopata tuu ushahidi alitakiwa amuache na sio kumpiga hiyo sio solution
 
Kwaa hio wewee unaona solution pekee ni kumuacha aende huko alipotombwa akaendelee kutombwa? Tupe sababu walau 3 kwanini afanye maamuzi hayo
 
Wewe hujawahi kuchepuka? Wanaume huwa mna wivu wa ajabu nyie mbona mnakuwa na wanawake kumi kwa wakati mmoja, napo kuvumilia mtu mmoja tu maisha yako yote inachosha inatakiwa upate style mpya huko nje ulete ndani 🤓🤓🤓
 
Mkuu njia yako atakonda kama unavyosema iwapo bado yupo interested na wewe.

La sivyo utazidi kumnenepesha na kumnawirisha kwa matunzo unayompa huku akifurahia uhuru unaompa kufanya mambo yake huko nje.
Matunzo kivip
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute.

Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote, tumeoana mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana.

Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja.

Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha, nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha.

Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee. Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu.

Naombeni ushauri wana JF hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Tit for tat..trab &trat
 
Mwamba
Hauko pekeyako. Jipige kifua sema Mimi ni Mwanaume songa mbele na life. Hata unaotuomba ushauri humu tushagongewa saana.
Tafuta pesa, hujamkuta bikra huyo. Na unavyozidi kumpendezesha ndivyo anavyopata hamu ya kuwekwa na wengine😃😃 relax man huzalia ili uumie
 
Back
Top Bottom