Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute.

Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote, tumeoana mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana.

Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja.

Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha, nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha.

Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee. Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu.

Naombeni ushauri wana JF hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Kinacho niuma zaid ni baada ya kut**bwa alimwambia jamaa asantee bebi 😩😩😩 ghaaaaai
 
Inawezekana nimebadilika ila sio kwako 😊😊
Hapana simaanishi umebadilika negatively bali positively na nafurahi umekuwa hivo, zamani ulikuwaga unawasema wanawake vibaya hadi nikawa nakuchukulia kama Misogynist fulani hivi, ila siku hizi nashangaa kwenye baadhi ya nyuzi ndio kwanza huwa uko mstari wa mbele kuwatetea 😀😀
 
mwanamke kakuona anakumudu, you can't say shit to her. anajua utaludi.
Kubabeq hadiii nimetukana ...
Hakuna mwanamke ananiogopa kama huyo duniani..
NIna maamuzi yangu hayo acha tu hadi kuna muda nahisi naweza kulogwa na hao wanawake...niiliwahi kumuacha mwanamke mzuri sana kwasababu zangu ninazozijua mwenywe halafu nikamtongoza mwanamke wa kawaida mno yani ni wa kawaida sanaa na mpaka sasa hv nipo nae
Mzee sijisifiii ila Kuna wanawake kadhaa wamewahi kuniapproach live kabisa na wengi huwa nawakatalia..
 
Mwamba
Hauko pekeyako. Jipige kifua sema Mimi ni Mwanaume songa mbele na life. Hata unaotuomba ushauri humu tushagongewa saana.
Tafuta pesa, hujamkuta bikra huyo. Na unavyozidi kumpendezesha ndivyo anavyopata hamu ya kuwekwa na wengine😃😃 relax man huzalia ili uumie
Jipige kifua mara tatu kabisa!!
 
Hahaaaa unesa
Aisee kugongewa mke inauma sana.

Imagine jamaa anamvua chupi, anaipiga mbunye dole la kati, anaipapasa papasa. Anaushika mdudu anaufikicha kwenye mashavu. Mbunye inaloa vizuri kisha anaingiza inaenea. Jamaa anapiga tako chap chap huku wife analegeza mimacho

Kila ukikumbuka hayo unaanza kulia kiume


Hahaha umesahau inakuwaga inachomoka wakat wa show na wife wake anairudishia shimoni chhap
 
Yaan aliliwa mwaka 2024 miezi ya mwanzoni 😅

Shida ya haya mambo, Kila utakapoingia mapajani mwake ,unakumbuka alivyokua analiwa .

Utaanza Hadi kujiuliza jamaa alimpiga bao ngapi?? Demu alikua analia migononya aina gan? Jamaa ana machine kubwa kukuzidi?? Jamaa alikua anatumia muda gan Kila bao??.


Jambo Moja la uhakika kabisa nlonalo, WANAWAKE HUWA HAWASEMI UKWELI LINAPOKUJA SUALA LA WAO KULIWA MARA NGAPI , KALIWA NA WANGAPI, KATOA MIMBA NGAPI .


Huyo wako aliliwa vya kutosha tuu , ukikomaa naye atakuambia ukweli wote.
Mbaya zaidi ukute jamaa lilikuwa linakula mpaka Yas!
 
Kila utakapoingia mapajani mwake ,unakumbuka alivyokua analiwa .

Utaanza Hadi kujiuliza jamaa alimpiga bao ngapi?? Demu alikua analia migononya aina gan? Jamaa ana machine kubwa kukuzidi?? Jamaa alikua anatumia muda gan Kila bao??.
📌
Na ukijiuliza yote hayo, mashine ikiwa ndani inazimika ghafla, unaonekana huna "nguvu" kumbe ni sonona ya kusababishiwa
 
Back
Top Bottom