Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Yaan aliliwa mwaka 2024 miezi ya mwanzoni 😅

Shida ya haya mambo, Kila utakapoingia mapajani mwake ,unakumbuka alivyokua analiwa .

Utaanza Hadi kujiuliza jamaa alimpiga bao ngapi?? Demu alikua analia migononya aina gan? Jamaa ana machine kubwa kukuzidi?? Jamaa alikua anatumia muda gan Kila bao??.


Jambo Moja la uhakika kabisa nlonalo, WANAWAKE HUWA HAWASEMI UKWELI LINAPOKUJA SUALA LA WAO KULIWA MARA NGAPI , KALIWA NA WANGAPI, KATOA MIMBA NGAPI .


Huyo wako aliliwa vya kutosha tuu , ukikomaa naye atakuambia ukweli wote.
Kuanza kumhoji ke kuhusu alioliwa nao ni uzwazwa kwasababu atakuongopea tu.
 
Ausikilize moyo wake kwanza.
Ningeombwa ushauri ningemshauri abaki naye ili walee watoto.
Wakati huu usimwamini tena ishi naye kwa akili.
Bora angefanya hivyo bila ya mkewe kujua, kwakuwa kashajua itakuwa n kuwindana na sioni kama hiyo ndoa ina furaha tena.
 
Natamani ujaribu afu uone mziki wangu , labda univizie nisi jue ni wewe.
kama humu 👇🏽
“KNOW WHO YOU'RE DEALING WITHDO NOT OFFEND THE WRONG PERSON
There are many different kinds of people in the world, and you can never assume that
everyone will react to your strategies in the same way. Deceive or outmaneuver some people
and they will spend the rest of their lives seeking revenge. They are wolves in lambs'
clothing. Choose your victims and opponents carefully, then
never offend or deceive the wrong person.”
Binadamu tumetofautiana kuna yule mwamba alileta uzi wake wa kutapeliwa laki moja, akamuwinda mbaya wake kwa miezi 6 ili kulipa kisasi.
 
Ulishindwa kuendesha bro pole Sana , wanawake ni dhaifu ko usimlaumu coz hujamfanyia usimamizi wa kutosha
Nakumbusha Kwa Ambao hhatujaoa ili kuepusha hizi ni kuoa mabikra Tu , tukifanya hivi wanawake wengi watanitunza ....
Bikra haikupi guarantee ya kutochapiwa mkuu. Inakupa tu relief pale mwanzo na kumuamini mwenza si ajabu mleta uzi nae aliikuta.
 
Shida ya watu wengi kwenye mahusiano ni hiyo ya kuchunguza kitu halafu hajui akijua ukweli atafanya nini.

Mwamba umembana akwambie ukweli, umeambiwa hujui ufanye nini!! Huo ni udwanzi kabisa, ilitakiwa kabla ya kuuliza uwe ushajua hatua inayofata baada ya kujua mbivu na mbichi.

Hapa utaongozwa na hasira, ushauri wa hovyo ambao si ajabu sio kitu unachotaka, ukaufata end of the day ukazidi kuumia tu.

Kama unaweza kusamehe we msamehe muendelee kulea bila kujali kelele za kuitwa simp, boya, huna msimano na akili na vitu kama hizo.

Kama huwezi kumsamehe achana nae mapema kabisa kabla hujaleta madhara zaidi, ninyi ambao mnapiga wanawake wakiwacheat ni wazi kuwaacha hamuwezi, kipigo kwenu ndio kama dawa ya kuwaponya na maumivu.

Kama unaacha usiangalie nyuma, kama unaendelea nae piq usisikilize ya watu.

Kila la kheri kijana.
 
Yaani ukaliwe ndogo afu nikulambe mikanda udinde aise utasababisha nikutahiri kisimi kwa kisu
Kusalitiana kunahusiana vipi na kujichukulia sheria mkononi, mtu kama mtu kakusaliti achana nae kwa amani ya bwana, yanini kujitafutia kesi hivi unajua sheria jinsi inavyompendelea mwanamke tena ndo umejichanganya kumpiga mbona utapoteza kila kitu
 
Mi mwanamke hakuna kitu atafanya kuniumiza, ukianza kucheat ovyo nakuolea mke mdogo tu kwako sili silali na kama matumizi nagawa katikati kama ulikuwa unapata 1mil bbasi nakupa 500 ingine napeleka kwa bi mdogo, matumizi yako binafsi utapata unakodanga. Nikuulize hapo kuna rangi gani utanionyesha ili niumie.


Nirudi kwako bwa mdogo. Hauna mke hapo huyo jamaa amela sana mkeo na anaendelea kumla kama kawaida. Mmezaa yes kumwacha sio vizuri, oa mke mdogo and acha kabisa kumhudumial
Mimi naongelea kumpiga mtu, sasa kama mkeo kakusaliti na umeamua kumuolea mke wa pili hilo sio kosa la jinai ila ukimpiga ni kosa na jinai na akimua kukushtaki na kukomalia kesi hakuna rangi utaacha ona
 
Yaan aliliwa mwaka 2024 miezi ya mwanzoni 😅

Shida ya haya mambo, Kila utakapoingia mapajani mwake ,unakumbuka alivyokua analiwa .

Utaanza Hadi kujiuliza jamaa alimpiga bao ngapi?? Demu alikua analia migononya aina gan? Jamaa ana machine kubwa kukuzidi?? Jamaa alikua anatumia muda gan Kila bao??.


Jambo Moja la uhakika kabisa nlonalo, WANAWAKE HUWA HAWASEMI UKWELI LINAPOKUJA SUALA LA WAO KULIWA MARA NGAPI , KALIWA NA WANGAPI, KATOA MIMBA NGAPI .


Huyo wako aliliwa vya kutosha tuu , ukikomaa naye atakuambia ukweli wote.
Ah mnawaza sana kuhusu mbususu vijana twende veta tukapate ujuzi hizi mbususu zipo na zinachakatwa tuu. Wee shukuru nawe umepewa ukojoleee
 
Binadamu tumetofautiana kuna yule mwamba alileta uzi wake wa kutapeliwa laki moja, akamuwinda mbaya wake kwa miezi 6 ili kulipa kisasi.
Upo sahihi 💯, watu wanashindwa kuelewa hii unaweza kumfanyia mtu ubaya akaamua kukaa kimya lakini akawa ana dili na wewe kimya kimya, sasa mwanaume amani sugu kupiga piga mke ni sifa hivi anajua huyo mke anawaza nini moyoni mwake
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute.

Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote, tumeoana mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana.

Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja.

Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha, nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha.

Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee. Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu.

Naombeni ushauri wana JF hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Huyo ni wa kumuacha tu kwani mwanamke akitoka nje ya ndoa inakuwaga vigumu sana kuachana na hiyo tabia.
 
Back
Top Bottom