Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Wewe hujawahi kuchepuka? Wanaume huwa mna wivu wa ajabu nyie mbona mnakuwa na wanawake kumi kwa wakati mmoja, napo kuvumilia mtu mmoja tu maisha yako yote inachosha inatakiwa upate style mpya huko nje ulete ndani 🤓🤓🤓
WEWEEEE!!!
 
Yani unajisifu kabisa eti umempiga mikanda ya kutosha. Ingekuwa mimi ndo umenishushia hicho kipigo hamna rangi ungeacha kuona. kama kakusaliti achana nae akakutane na malimwengu, kupiga sio solution bali kujitafutia kesi afu once a cheater always a cheater
Hapo mwisho hiyo sentence ya kizungu ungeweka wino mzito
 
Cha muhimu mtoa mada asikilize washauri wake kama mshenga, wazee anaoona wana busara kuyaweka hayo mambo sawa, ila ukikurupuka na ushauri humu wa mihemko wa kuachana na wengi hata ndoa hawana ni vitoto havijui hata ndoa ni nini, wengine wana ndoa zao wana solve kimya kimya wanafunika kombe mwana haram apite Walee watoto ila wako humu kutoa maneno ya kejeli na kukatisha tamaa...narudia tena Sicario poison ukikurupuka na ushauri wa humu utapoteza familia na hautakuja kumpata mkamilifu wengine humu watoto wa nje mama zao walichepuka na wakasemehewa ila kutwa humu kuharibu.
Unatakiwa ujue hii jf ya sasa imejaa vimarioo vya kulelewa na wamama, wengine ni vianafunzi hata hawajafikia umri wa kuwaza mke na watoto
ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
Na aufuatee ushaurii huuu..hii mvuaa hainyeshi nyumbanii kwakee tuu
 
Alitakiwa amwache tuu aende kwa amini ya bwana akakutane na malimwengu, mimi siwezi kuvumilia mtu aliyenisaliti kivyovyote vile ndo maana na mimi siwezi kabisa kusaliti mtu
Ke wapo ambao hawasaliti. Sema ukweli
 
Mimi nadhani maswala ya ndoa ni very complicated sana,kwakuwa hukumukuta bikra huyo mwanamke tambua kabisa umeona mke wa mtu,mwanamke ni kiumbe wa hovyo sana kuwahi kutokea,usijaribu kuwekeza mawazo,akili na Imani Yako Kwa mwanamke ambaye hukumukuta bikra,huu ni upumbavu wa Karne.

Can you imagine mama yangu mzazi ambaye katuzaa watoto 6 ,anakuja kukiri kuwa kaka yangu ambaye ni wanne kuzaliwa si mtoto wa baba yetu,Ati alizini na rafiki yake baba miaka Ile,now kaka Yuko 48yrs , Sasa mnafanyaje na hili janga!!?

Simuamini mke wangu hata robo maana sikumkuta bikra,akiliwa huko Wala sio shida,shida siku nikijua maana ndo itakuwa mwisho wa kuwa pamoja.


Ukitaka mapenzi ya kweli oa bikra,huyu hajui mapenzi ni nini,Sasa wewe unaoa jike lililolala na wanaume kumi ,kati ya hao Kuna mmoja alilifurahisha zaidi japo hakulioa,siku wakikutana lazima kitu kipigwe,Nina uzoefu na hawa wake za watu
Kwahiyo baba yako aliposikia hivyo alimuacha mama yako?
 
Yani unajisifu kabisa eti umempiga mikanda ya kutosha. Ingekuwa mimi ndo umenishushia hicho kipigo hamna rangi ungeacha kuona. kama kakusaliti achana nae akakutane na malimwengu, kupiga sio solution bali kujitafutia kesi afu once a cheater always a cheater
Ewaaaha hapo sawa sasa mwenye kusikia na asikie
 
Yaan aliliwa mwaka 2024 miezi ya mwanzoni 😅

Shida ya haya mambo, Kila utakapoingia mapajani mwake ,unakumbuka alivyokua analiwa .

Utaanza Hadi kujiuliza jamaa alimpiga bao ngapi?? Demu alikua analia migononya aina gan? Jamaa ana machine kubwa kukuzidi?? Jamaa alikua anatumia muda gan Kila bao??.


Jambo Moja la uhakika kabisa nlonalo, WANAWAKE HUWA HAWASEMI UKWELI LINAPOKUJA SUALA LA WAO KULIWA MARA NGAPI , KALIWA NA WANGAPI, KATOA MIMBA NGAPI .


Huyo wako aliliwa vya kutosha tuu , ukikomaa naye atakuambia ukweli wote.
Kwa narrative hii unamfanya mwenzio awaze mara mbili mbili kama ametoa adhabu stahiki
 
Ndio maana nimesema hapo kwako hakuna mke,bali hapo kuna maazimio yale Beigin. Aina hiyo ndio iliyosababisha ndoa nyingi kuvurugika. Ksbb kwanza mnaongea sana. Pili mnajua sana. Tatu mko juu kuliko mumeo. Ni pressure kuwa na mtu kama wewe. Aina yenu ni ya eat and kona kali
Hamna mtu ataishi na mwanamke wa aina hiyo ulioelezea mkuu watatumika tu yaani hapo hamna mwanamke uko sahihi mkuu
 
Back
Top Bottom