Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

KWELI
mwanaume asiechepuka ni msukule sema nafuu yetu ni kwamba hatupeleki hisia ni tamaa tu
Basi amsamehe maisha yasonge maana huyo dada alichepuka baada ya kusikia Mume wake anachepuka, so hayo machungu anayosikia Mume ndo hayo alisikia mke mpaka akachepuka, hapo ngoma droo, leeni watoto wenu kwani nyote ni wachepukaji na mbaya zaidi ni Mume aliyeanza kuchepuka naye mke akalipa kisasi, msamehe mke wako maana wewe ndo chanzo Cha yeye kuchepuka.
 
Mwanamke akiamua kucheat anauwezo wa kucheat katika usiri wa hali ya juu sana. Mwanaume anapenda kuheshimiwa, na katika ndoa yoyote ile ili ndoa idumu mwanamke anapaswa kumheshimu mwanaume. Linapokuja suala la mwanamke kucheat, ina maana kuwa mwanamke amepunguza kukuheshimu. Anapaswa kukuheshimu kwanza ili kulinda jambo kama hilo lisijirudie tena.
 
Ulichokisema kuhusu bikra ni kweli mkuu, lakini mtu mpya una nafasi kubwa zaidi ya kumshape emotionally, mentally nk.

Mara nyingi mapito yetu ya nyuma yametutengeneza tulivyo leo.

Wengi wamekua malaya sababu waliangukia mikononi mwa watu sio sahihi mwanzoni.
Huenda ila kwa nijuavyo mimi ni msimamo tu wa mwanamke maana sisi nasi tuna ushawishi mno.

Kumkuta bikra ni ile inakupa amani ya moyo na kuwa na imani nae.
 
Et alijikuta tayari na yy hakutarajia ALI LIWA KIMASIHARA duuuuh dhambi ya uzinzi ina angamiza family nyingi,,, mkuu liwalo na liwe KIKOMBE HIKI KIPO MIKONONI MWAKO ,,,
 
Bora umkute bikra hata akija kuharibikiwa huko mbele is okay sawa ninunue gari jipya hata likiharibikia mikononi mwangu sina wa kumlaumu
 
Mwanamke akiamua kucheat anauwezo wa kucheat katika usiri wa hali ya juu sana. Mwanaume anapenda kuheshimiwa, na katika ndoa yoyote ile ili ndoa idumu mwanamke anapaswa kumheshimu mwanaume. Linapokuja suala la mwanamke kucheat, ina maana kuwa mwanamke amepunguza kukuheshimu. Anapaswa kukuheshimu kwanza ili kulinda jambo kama hilo lisijirudie tena.
Sasa katika kiumbe ambae hawezi kujificha akianza kucheat ni mwanamke yani huweziii jificha labda ukutane na boya asiyeshtuka mapema.
 
Nakumbuka kuna mzee mmoja alikua ananihadisia mishe zao enzi za ujana, ni 70+yrs,mzee anakuambia wao walikua wanajua mpk watoto wanaowalea siwakwao sometimes and wakawa wanamezea tu hata mkewe hamuulizi hilo jambo lkn anamjua mpaka alietembea na mkewe but still hawaulizi.
Sasa hivi hata km kitu ni chaumbea unamuuliza mkeo bila ww kufanya tafiti zako mtaani nawakina mama wengine wanawaogopa sn waume zao wanachofanya nikukubali ilimradi yaishe.
Always unapokua na adui ndani usimuambie wanaweza hata kukuua ww mwenyewe be careful what your wishing for.
 
Mimi nadhani maswala ya ndoa ni very complicated sana,kwakuwa hukumukuta bikra huyo mwanamke tambua kabisa umeona mke wa mtu,mwanamke ni kiumbe wa hovyo sana kuwahi kutokea,usijaribu kuwekeza mawazo,akili na Imani Yako Kwa mwanamke ambaye hukumukuta bikra,huu ni upumbavu wa Karne.

Can you imagine mama yangu mzazi ambaye katuzaa watoto 6 ,anakuja kukiri kuwa kaka yangu ambaye ni wanne kuzaliwa si mtoto wa baba yetu,Ati alizini na rafiki yake baba miaka Ile,now kaka Yuko 48yrs , Sasa mnafanyaje na hili janga!!?

Simuamini mke wangu hata robo maana sikumkuta bikra,akiliwa huko Wala sio shida,shida siku nikijua maana ndo itakuwa mwisho wa kuwa pamoja.


Ukitaka mapenzi ya kweli oa bikra,huyu hajui mapenzi ni nini,Sasa wewe unaoa jike lililolala na wanaume kumi ,kati ya hao Kuna mmoja alilifurahisha zaidi japo hakulioa,siku wakikutana lazima kitu kipigwe,Nina uzoefu na hawa wake za watu
Mkuu, kwani ukioa bikra ndo uhakika kuwa hutagongewa kweli? unaweza ukawa umepata huyo bikra lakini katikati ya safari yenu ya maisha shits zikatokea na akaanza kuipeleka nje. Haya mambo ni magumu sana yani daah, Mungu azisaidie tu hizi ndoa, maana yeye ndo aliianzisha hii taasisi kwa mujibu wa maandiko.
 
Back
Top Bottom