Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Nimekuja kujua kwamba wife kanisaliti mwaka jana mwanzoni

Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute.

Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote, tumeoana mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana.

Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja.

Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha, nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha.

Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee. Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu.

Naombeni ushauri wana JF hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Kaa Kwa kutulia kwani wewe yangu uwe nae hujawai chit broh ,
 
Cha muhimu mtoa mada asikilize washauri wake kama mshenga, wazee anaoona wana busara kuyaweka hayo mambo sawa, ila ukikurupuka na ushauri humu wa mihemko wa kuachana na wengi hata ndoa hawana ni vitoto havijui hata ndoa ni nini, wengine wana ndoa zao wana solve kimya kimya wanafunika kombe mwana haram apite Walee watoto ila wako humu kutoa maneno ya kejeli na kukatisha tamaa...narudia tena Sicario poison ukikurupuka na ushauri wa humu utapoteza familia na hautakuja kumpata mkamilifu wengine humu watoto wa nje mama zao walichepuka na wakasemehewa ila kutwa humu kuharibu.
Unatakiwa ujue hii jf ya sasa imejaa vimarioo vya kulelewa na wamama, wengine ni vianafunzi hata hawajafikia umri wa kuwaza mke na watoto
ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO
Kweli kabisa umeongea, mambo aya yapo mtaani kila siku wanawake wanafumaniwa lkn sijawahi kuona wanaachwa, yanasoviwa maisha yanaendelea, lkn jf kila mtu mmbabe, ingekua ivyo kusingekuwa na ndoa tena, tafuta watu wazima , sio wew wa kwanza
 
Yani unajisifu kabisa eti umempiga mikanda ya kutosha. Ingekuwa mimi ndo umenishushia hicho kipigo hamna rangi ungeacha kuona. kama kakusaliti achana nae akakutane na malimwengu, kupiga sio solution bali kujitafutia kesi afu once a cheater always a cheater
Mnajuana kumbe. 😂😂
 
Haya mambo ya cheating huwa tunayazungumzia kimwili na kihisia zaidi. Lakini yapo kiroho zaidi kuliko tunavyodhani.
 
Basi amsamehe maisha yasonge maana huyo dada alichepuka baada ya kusikia Mume wake anachepuka, so hayo machungu anayosikia Mume ndo hayo alisikia mke mpaka akachepuka, hapo ngoma droo, leeni watoto wenu kwani nyote ni wachepukaji na mbaya zaidi ni Mume aliyeanza kuchepuka naye mke akalipa kisasi, msamehe mke wako maana wewe ndo chanzo Cha yeye kuchepuka.
Kumbe na yeye mchepukaji, sasa anaumia nini, ngoma droo
 
Yani unajisifu kabisa eti umempiga mikanda ya kutosha. Ingekuwa mimi ndo umenishushia hicho kipigo hamna rangi ungeacha kuona. kama kakusaliti achana nae akakutane na malimwengu, kupiga sio solution bali kujitafutia kesi afu once a cheater always a cheater
MrsPablo1
 
Wanaume wenzangu msiombe hii iwakute.

Nimekuwa namwamini wife wangu kipindi chote, tumeoana mwaka 2020 na sasa tumejaaliwa watoto wawili tena wazuri sana.

Huwa namwacha wife dukani mimi nikitoka kumbe kuna jamaa huwa anamwimbisha plus kumpa umbea kwamba mumeo anatoka na flani na flani wakawa wamebanjuana mara moja.

Nilivopata fununu mtaani nikambana wife mwisho wa siku akakiri na kuanza kulia lia na kuomba msamaha, nilimzaba makofi plus mikanda ya kutosha.

Nimewaza mengi sana wakuu hakika hili jambo linaumiza sana aisee. Yeye anadai kajutia na hakutarajia kama atafanya jambo hilo na mimi nimetulia namchora tu.

Naombeni ushauri wana JF hasa ambao mpo ndoani hapa kama mwanaume natakiwa kufanyaje?
Kwahy umechukua hatua gani mpaka sasa?
 
Back
Top Bottom