Mwanamke ni pambo na ni UA, hivyo linatakiwa kutunzwa na kufichwa ndani na ukilifunua na kuliachia liende popote bhasi jua utalipoteza.
Mwanamke wako ikiwa wampenda kweli mtafutie biashara ya kufanyia nyumbani mbona zipo nyingi mfano kutengeneza sabuni, manukato, unga wa lishe alafu wewe ndo watafuta masoko nje au atumie whatsapp Business groups na kama hivyo au kusuka wanawake wenzake hapo nyumbani.
Lakini ukitaka kulizwa mruhusu apande daladala kila siku atoke Mbagara to Kariakoo asubuhi mpaka jioni kwa mda wa wiki moja au mwezi utaniambia hapo nyumbani.