Nimekula Mwanamke asiyehusika. Ni mtamu sana

Nimekula Mwanamke asiyehusika. Ni mtamu sana

Ila iringa kuna ukimwi kule .......kuwa makini Sana maumbo umbo yapo mengi .....SASA tatizo ukimwi tu
 
Bidhaa ni ile ile aliyebadilika ni muuza genge...
 
Niko Iringa, jana usiku nikatoka kwenda kusafisha macho kidogo, nikafika sehemu ambayo wanapatikana warembo, nikamwita dada mmoja mrefu, maji ya kunde, amevaa miwani, ana hips zamaana na lips fulani hivi amazing...

Alivyo sogea nikauliza bei akaniambia yeye hafanyi hiyo biashara ila kuna mtu anamsubiri pale labda niende bar fulani hatua chache kutoka pale ntapata huduma...

Kabla sijaondoka nikauliza wanakuwa nje au itabidi nishuke niende ndani, akaniuliza kwani una sh ngapi nikamwambia 20 akauliza una chumba? Nikamwambia ewaa, nimefikia lodge ya mtaa wa nyuma tu akaomba niongeze 10 iwe 30 anisaidie.

Ebwanaaeee, Iringa hakuna baridi kabisa labda kama unahangaika na ma blanketi.... Mtoto ni mtulivu sanaaa anajua kutoa ushirikiano tulifanyana sana, badae nikatoka nje kuweka order ya chakula tukala tukaongea, ni muungwana sana.

Badae nikamsindikiza mpaka anapo ishi nikamshukuru kwakuwa amenikarimu sana, tukapeana namba jioni ya leo nitamtafuta tena tuagane maana alfajiri ya kesho naenda Dodoma.
Daaah hii nchi ngumu Sana , 😀
 
Ukimwi utachukua muda mrefu sana kutoka Afrika na hii ni kutokana na Tabia zetu za kijinga jinga. Sijasemea mambo kama ya Homa ya Ini na HPV...ukipata Elimu ya magonjwa hutakaa ufanye betting na Afya yako daima..
Sawasawa..
 
Kho Kho Kho Yaw Yow Jeeesh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha eebana mnamshambulia mtoa nada kisa kampata asiye changu kimasihara....wivu mweee ..iyo kho kho khooo dalili ya wivu au? hahahaha nacheka kimasihara
 
Haloooooooo..... Hongeraaa sanaa... Congrats mkuuu
 
Iringa nitarudi tena, miaka kadhaa nyuma nilipokelewa na mrembo mmoja safi sana.. ajabu alitaka 15K tu kwa huduma safi kabisa.

Kamwene!
 
Back
Top Bottom