Buyuni Kwetu
JF-Expert Member
- Sep 29, 2013
- 2,120
- 2,153
Wivu tayariTulia mkuu, tafuta wako pekeyako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu tayariTulia mkuu, tafuta wako pekeyako.
Anauza huyo ila style ya mauzo ndio inatofautiana
[emoji23][emoji23]Itakuwa "Barabara-mbili"![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ni mimi pia, hiyo ilikuwa Makole, na kesho ninaenda Dodoma nisipopata wakwenda naye inabidi nifikie pale pale tenaUsisahau dodoma kwenye ile lodge mwenzio alipewa bure wewe umeuziwa
Hapo hamna kimasihara, huyo ni mjasiriamali ambaye hataki kuwa verifiedUmekula pisi Kali kimasihara babuu!!
Daaah hii nchi ngumu Sana , 😀Niko Iringa, jana usiku nikatoka kwenda kusafisha macho kidogo, nikafika sehemu ambayo wanapatikana warembo, nikamwita dada mmoja mrefu, maji ya kunde, amevaa miwani, ana hips zamaana na lips fulani hivi amazing...
Alivyo sogea nikauliza bei akaniambia yeye hafanyi hiyo biashara ila kuna mtu anamsubiri pale labda niende bar fulani hatua chache kutoka pale ntapata huduma...
Kabla sijaondoka nikauliza wanakuwa nje au itabidi nishuke niende ndani, akaniuliza kwani una sh ngapi nikamwambia 20 akauliza una chumba? Nikamwambia ewaa, nimefikia lodge ya mtaa wa nyuma tu akaomba niongeze 10 iwe 30 anisaidie.
Ebwanaaeee, Iringa hakuna baridi kabisa labda kama unahangaika na ma blanketi.... Mtoto ni mtulivu sanaaa anajua kutoa ushirikiano tulifanyana sana, badae nikatoka nje kuweka order ya chakula tukala tukaongea, ni muungwana sana.
Badae nikamsindikiza mpaka anapo ishi nikamshukuru kwakuwa amenikarimu sana, tukapeana namba jioni ya leo nitamtafuta tena tuagane maana alfajiri ya kesho naenda Dodoma.
🤣🤣🤣Kweli we bei elekezi.
Sawasawa..Ukimwi utachukua muda mrefu sana kutoka Afrika na hii ni kutokana na Tabia zetu za kijinga jinga. Sijasemea mambo kama ya Homa ya Ini na HPV...ukipata Elimu ya magonjwa hutakaa ufanye betting na Afya yako daima..
Hahahaha eebana mnamshambulia mtoa nada kisa kampata asiye changu kimasihara....wivu mweee ..iyo kho kho khooo dalili ya wivu au? hahahaha nacheka kimasiharaKho Kho Kho Yaw Yow Jeeesh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu usiache kushare nami pia katika ujumbe fiche..Fanya kunisogezea namba yake kunako ujumbe fiche (PM) na mimi nifaidi mema ya nchi.
Sisi wanaume ni ndugu, tafadhali sana.
wewe unadhani huyo uliyepitanae hapo iringa ni wako peke yako?.Tulia mkuu, tafuta wako pekeyako.
Kanihakikishia hana mtuwewe unadhani huyo uliyepitanae hapo iringa ni wako peke yako?.