fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
kutubu nini?Astaghfirullah nenda katubu🐼
Hayo ya Mungu au sio Mungu hayanihusu,mradi mie wali nimekula sikwenda kwao kuabudu nimeenda kulaKama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.
Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?
Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?
Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
yesKaribu Mkuu tupate moja moto moya baridi😄 maanake ushashiba ubwabwa,
View attachment 3520371
Kama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.
Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?
Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?
Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
Anayehukumu ni Mola sio binadamu
Ingekuwa mtu amemua Mama yako mzazi na kumtukana Kisha kufanya Sherehe kwa ajili ya tukio hilo utampongeza na utapiga msosi kisa tu wewe haujashiriki mauaji ?Hayo ya Mungu au sio Mungu hayanihusu,mradi mie wali nimekula sikwenda kwao kuabudu nimeenda kula
Sehemu gani kwenye Quran inakataza waislamu kusherehekea Christmas?Kama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.
Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?
Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?
Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
Safi sana shehAnayehukumu ni Mola sio binadamu
Familia ya Khashoggi ilifanya hivyo baada ya MBS wa Saudi Arabia kumkatakata baba yao kama nyama ya mishikaki na kumyeyusha kwenye acid huko UturukiIngekuwa mtu amemua Mama yako mzazi na kumtukana Kisha kufanya Sherehe kwa ajili ya tukio hilo utampongeza na utapiga msosi kisa tu wewe haujashiriki mauaji ?
Sheikh Marry ChristmasHayo ya Mungu au sio Mungu hayanihusu,mradi mie wali nimekula sikwenda kwao kuabudu nimeenda kula
Scenario ya 2018Familia ya Khashoggi ilifanya hivyo baada ya MBS wa Saudi Arabia kumkatakata baba yao kama nyama ya mishikaki na kumyeyusha kwenye acid huko Uturuki
Safi sana sheh
ukipata kitimoto rosti si unapiga?