Nimekula pilau kwa rafiki zangu wakristo

Nimekula pilau kwa rafiki zangu wakristo

Acha kibri kama wewe Muislamu kuwa open minded , tenga muda wa kutafakari na kusoma dini maana dini muongozo wake ni Qu'ran na Sunnah na sio matamanio ya mtu.

Mimi wakati nipo katika misimamo huo nilisema nitafuatilia kwa kusoma na kufikiria wala sikuwahi kujadili kwa ubishi na kiburi kama wewe .

Kwa maana hiyo nikimpa mzinzi Geto akadinye nitakuwa sawa kisa Mimi sijadinya , au nikamsifia mzinzi kwa tabia yake hapo nitakuwa nimemuunga mkono au vipi ?

Sawa kuenda kanisani kufagia na kupanga viti kwa ajili ya watu wafanye ibada zo kisa wewe haushirki ?

Au ni sawa kuomba mizimu kisa tu wewe tu uneonba lakini haumini kama mizimu ina uwezo wa Mungu ?

Watu wakienda kutoa makafara wewe ni sawa kuwapa usafiri na mbuzi kisa tu haushirki hiyo ibada hakuna ubaya ?

Sherehe za Christmas za kumkufuru Mwenyewezi Mungu na kufanya happy birthday yake sasa wewe una gonga glass unaona sawa je , ingekuwa Sherehe ya kumtukana Mama yako mzazi ungegonga glass kisa wewe haumtukani na haukubaliani na Hilo ?
You said it all.
 
Bahati mbaya sana Watanzania hawajali hayo mambo.
Kwa hiyo sisi kuanzia Christmas hadi Eid tunasherehekea wote kwa pamoja bila kujali kitu.
Watu wanazini huko na linachukuliwa kama jambo la kawaida, lakini kusherehekea Christmas mnaona ni ukafiri
Sometimes ni bora tu tusingeletewa hizi dini huku Africa. Zinatutenganisha sana
Sote ni watanzania mkuu kwenye mambo ya kijamii, biashara, utu na ubinadamu tuko pamoja ila kwenye mipaka ya dini yetu sisi hatupo tayari kwa huo ushirikiano ninyi malizeni mambo yenu mkimaliza tutaendelea na utanzania wetu kama kawaida.
 
Alaf adriz gallow bird

Naomba ufafanuzi
Quran 33:56
"Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika Wake wanamsalia Nabii. Enyi mlioamini! Mswalieni na msalimu kwa salamu kamili.”

Kwahiyo hapa Allah alikuwa anaomuomba Allah.
Au?

Kwamba Allah anasema
"Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam".
Kumswalia mtume maana yake ni kumuomba allah aliyetukuka amsifu na kumtaja kwa wema mbele za viumbe watukufu huko mbinguni.
 
Unajua nn kuhusu Mungu wa watu weupe????
Acha tule na kunywa na hata papuchi tupeane na watoto tupate
Acha ukenge maji
Kama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.

Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?

Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?

Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
 
Acha kibri kama wewe Muislamu kuwa open minded , tenga muda wa kutafakari na kusoma dini maana dini muongozo wake ni Qu'ran na Sunnah na sio matamanio ya mtu.

Mimi wakati nipo katika misimamo huo nilisema nitafuatilia kwa kusoma na kufikiria wala sikuwahi kujadili kwa ubishi na kiburi kama wewe .

Kwa maana hiyo nikimpa mzinzi Geto akadinye nitakuwa sawa kisa Mimi sijadinya , au nikamsifia mzinzi kwa tabia yake hapo nitakuwa nimemuunga mkono au vipi ?

Sawa kuenda kanisani kufagia na kupanga viti kwa ajili ya watu wafanye ibada zo kisa wewe haushirki ?

Au ni sawa kuomba mizimu kisa tu wewe tu uneonba lakini haumini kama mizimu ina uwezo wa Mungu ?

Watu wakienda kutoa makafara wewe ni sawa kuwapa usafiri na mbuzi kisa tu haushirki hiyo ibada hakuna ubaya ?

Sherehe za Christmas za kumkufuru Mwenyewezi Mungu na kufanya happy birthday yake sasa wewe una gonga glass unaona sawa je , ingekuwa Sherehe ya kumtukana Mama yako mzazi ungegonga glass kisa wewe haumtukani na haukubaliani na Hilo ?
Unaelewa maana ya kuwa "open minded" wewe mujahideen??
Ukiwa open minded utaitupa Quran na kuachana na story za Mudy uanze kula na kitimoto kabisa, kama ni mwanamke utatupilia mbali niqab, buibui, burka, hijab au au sijui ushungi uanze kutinga viwalo vya kwenda.
 
Unaelewa maana ya kuwa "open minded" wewe mujahideen??
Ukiwa open minded utaitupa Quran na kuachana na story za Mudy uanze kula na kitimoto kabisa, kama ni mwanamke utatupilia mbali niqab, buibui au ushungi uanze kutinga viwalo vya kwenda.
Mtu yeyote akiwa open minded na akili timamu lazima ataona tu Uislamu ndio dini ya sawa na Qu'ran ndio muongozo Bora kabisa katika maisha ya mwanadamu
 
Back
Top Bottom