Acha kibri kama wewe Muislamu kuwa open minded , tenga muda wa kutafakari na kusoma dini maana dini muongozo wake ni Qu'ran na Sunnah na sio matamanio ya mtu.
Mimi wakati nipo katika misimamo huo nilisema nitafuatilia kwa kusoma na kufikiria wala sikuwahi kujadili kwa ubishi na kiburi kama wewe .
Kwa maana hiyo nikimpa mzinzi Geto akadinye nitakuwa sawa kisa Mimi sijadinya , au nikamsifia mzinzi kwa tabia yake hapo nitakuwa nimemuunga mkono au vipi ?
Sawa kuenda kanisani kufagia na kupanga viti kwa ajili ya watu wafanye ibada zo kisa wewe haushirki ?
Au ni sawa kuomba mizimu kisa tu wewe tu uneonba lakini haumini kama mizimu ina uwezo wa Mungu ?
Watu wakienda kutoa makafara wewe ni sawa kuwapa usafiri na mbuzi kisa tu haushirki hiyo ibada hakuna ubaya ?
Sherehe za Christmas za kumkufuru Mwenyewezi Mungu na kufanya happy birthday yake sasa wewe una gonga glass unaona sawa je , ingekuwa Sherehe ya kumtukana Mama yako mzazi ungegonga glass kisa wewe haumtukani na haukubaliani na Hilo ?
Wewe si unahubiri kila siku kuhusu amani? Uvumilivu wa kidini ni muhimu kwa ajili ya amani.Kama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.
Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?
Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?
Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
Kama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.

Hayo ya Mungu au sio Mungu hayanihusu,mradi mie wali nimekula sikwenda kwao kuabudu nimeenda kula
Ndio,nimealikwa kwa rafiki zangu wakristo,nami ni mwislamu,pilao nimekula,nyama za kuchoma,pilipili,kachumbari,samaki,juisi na pombe juu nimekunywa.Tunafurahi na hata uzi huu nauandika nipo hapa kwa wakristo ndugu zangu.Siwezi kuacha,eti kwa kuwa kuna shehe karopoka eti tusile,shubamiti.
Daaaa we jamaa mbishi na unarusha sana mawe. Huu ubishi huendi peponiHayo ya Mungu au sio Mungu hayanihusu,mradi mie wali nimekula sikwenda kwao kuabudu nimeenda kula
Kiarabu kipana ndugu,neno swala kwa kiarabu ni pana,Ili kuondoa kunisumbua unge-google tu, najua utakutana na majibu ikiwa kweli unataka juaAlaf adriz gallow bird
Naomba ufafanuzi
Quran 33:56
"Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika Wake wanamsalia Nabii. Enyi mlioamini! Mswalieni na msalimu kwa salamu kamili.”
Kwahiyo hapa Allah alikuwa anaomuomba Allah.
Au?
Kwamba Allah anasema
"Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam".
Hakuna mahali nimesema Wakristo wasisherehekee sikuu yao wala kuwakataza .Wewe si unahubiri kila siku kuhusu amani? Uvumilivu wa kidini ni muhimu kwa ajili ya amani.
Allaah kumswalia Mtume ni tofauti za sisi , swala ya Allaah kwa Mtume wake ni kumtaja kwa uzuri mbele ya malaika zake nkAlaf adriz gallow bird
Naomba ufafanuzi
Quran 33:56
"Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika Wake wanamsalia Nabii. Enyi mlioamini! Mswalieni na msalimu kwa salamu kamili.”
Kwahiyo hapa Allah alikuwa anaomuomba Allah.
Au?
Kwamba Allah anasema
"Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam".
Hivi ww maamuma unaakili timamu kweli ?!Kama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.
Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?
Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?
Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
Uislamu ibada yeyote ni haramu kufanya mpaka uambiwe ufanye na utafanya kwa mujibu wa maelekezo.Yesu anaheshimika kwenywe Quran.
Sasa imagine kuwa Christmas ni kusherehekea kuzaliwa kwa Nabii Issa na sio Yesu.
Napo hapo kuna shida?
😁😁😁😁
Ndugu zangu Waislam. Heri ya Christmas . Mkialikwa nenden mle Pilau la kuzaliwa kwa Nabii Issa.
Quran 60 :8
"Mwenyezi Mungu hawakatazeni kuwafanyia wema na haki wale wasio kupigana nanyi kwa ajili ya dini.”
Kama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.
Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?
Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?
Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
Acha kijana ale na kufurahi , wamatumbi sera yetu ni umoja na upendo ,haya madini mmeletewa tu, mbona papuchi za Wala kiti moto mnazifakamia na denda juu?Kama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.
Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?
Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?
Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
Hawa ndiyo wenye dini Yao na hawana shida na Imani ya wengineHospital hakuna ibada na tukio la kuumbwa hakufungamanishwi na ibada
Nayaheshimu maoni yako japo siyakubaliIngekuwa mtu amemua Mama yako mzazi na kumtukana Kisha kufanya Sherehe kwa ajili ya tukio hilo utampongeza na utapiga msosi kisa tu wewe haujashiriki mauaji ?
Kama Muislamu kweli nakusihi tubia na usishiriki tena katika ibada za dini nyingine sikuuu nzima ni ibada kushiriki katika kitendo chochote ni sawa na kushirikina katika jambo hilo na kulipa nguvu . Mimi mwanzo nilikuwa na mtizamo kama wako niliona hakuna shida yeyote maadamu siendi kanisani na siamini kuhusu Yesu kama wanavyoamini wao ila baada ya kusoma na kufikiria kwa umakini nikafahanu nilikuwa katika mtizamo wa makosa.
Sawa Leo hii usaidie bati Ujenzi wa kanisa na mbao uone sawa kisa haujajenga kanisa lote .
Kitimoto sikipendiSafi sana sheh
ukipata kitimoto rosti si unapiga?
uchoyo ni tabia ya mtu sio diniSema Wakristo wachoyo aisee tofauti na waislamu