Safi kabisa mkuuHayo ya Mungu au sio Mungu hayanihusu,mradi mie wali nimekula sikwenda kwao kuabudu nimeenda kula
safi sana bhanaKwa dharula haina shida sheikh.
Quran 2 : 173
"Yeye amekuharimishieni mzoga tu na damu na nyama ya nguruwe na kilicho tajiwa, katika kuchinjwa kwake, jina la asiye kuwa Mwenyezi Mungu. Lakini aliye fikiwa na dharura bila ya kutamani wala kupita kiasi, yeye hana dhambi. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu."
Sio kweliSema Wakristo wachoyo aisee tofauti na waislamu
Unataka kuleta udini wewe kobasSema Wakristo wachoyo aisee tofauti na waislamu
Amedumisha ujirani mwema hajaenda kuabudu, mbona akili yako nzito sana ?Kama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.
Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?
Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?
Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
Tena anazini mpaka na vibinti vya kikristo.Upo sahihi kabisa
Unakuta shekhe analopoka mara ooh usile nguruwe, usishiriki mara masikukuu, LAKINI UPANDE WA PILI UNAKUTA NI MZINZI, MUONGO..sasa makatazo yote yanasaidia nini.
Wacha udini wewe, watoto wenu wakiumwa mnaenda hospitali mnadungwa sindano na manesi waliotoka kupiga kitimoto na bia na mbona mnapona. ShwainIngekuwa mtu amemua Mama yako mzazi na kumtukana Kisha kufanya Sherehe kwa ajili ya tukio hilo utampongeza na utapiga msosi kisa tu wewe haujashiriki mauaji ?
Kama Muislamu kweli nakusihi tubia na usishiriki tena katika ibada za dini nyingine sikuuu nzima ni ibada kushiriki katika kitendo chochote ni sawa na kushirikina katika jambo hilo na kulipa nguvu . Mimi mwanzo nilikuwa na mtizamo kama wako niliona hakuna shida yeyote maadamu siendi kanisani na siamini kuhusu Yesu kama wanavyoamini wao ila baada ya kusoma na kufikiria kwa umakini nikafahanu nilikuwa katika mtizamo wa makosa.
Sawa Leo hii usaidie bati Ujenzi wa kanisa na mbao uone sawa kisa haujajenga kanisa lote .
Umekula haramu🐼kutubu nini?
Muumini wa hovyo!mna ubaguzi wa kijinga sana ninyi.Kama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.
Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?
Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?
Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
Andika uchoyo wa waislam na uchoyo wa Wakristo nipate idea,Sema Wakristo wachoyo aisee tofauti na waislamu
Dini yenyewe umeletewa Tu..acheni UJINGA nyie mafalaKama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.
Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?
Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?
Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
Hospital Kuna ibada za Kikiristo zinafanyika ?Wacha udini wewe, watoto wenu wakiumwa mnaenda hospitali mnadungwa sindano na manesi waliotoka kupiga kitimoto na bia na mbona mnapona. Shwain
Ubaguzi gani mbona unashindwa kusoma vizuri na kuelewa ?Muumini wa hovyo!mna ubaguzi wa kijinga sana ninyi.
Kualikwa ni kushiriki ibada?imani ipo moyoni haipo kwenye taste ya vitu mdomoni yaani nikiitwa kula nisiende kisa siyo dini yangu?huo ni uzwazwa!
Dadekii kwenye hili hachomoki mtu!Wacha udini wewe, watoto wenu wakiumwa mnaenda hospitali mnadungwa sindano na manesi waliotoka kupiga kitimoto na bia na mbona mnapona. Shwain
Wewe kila unachofanya umevumbua mwenyewe ?Dini yenyewe umeletewa Tu..acheni UJINGA nyie mafala
Hospital hakuna ibada na tukio la kuumbwa hakufungamanishwi na ibadaWacha udini wewe, watoto wenu wakiumwa mnaenda hospitali mnadungwa sindano na manesi waliotoka kupiga kitimoto na bia na mbona mnapona. Shwain
Ilifanya vipi ? naomba info kidogo kuhusiana na hiloFamilia ya Khashoggi ilifanya hivyo baada ya MBS wa Saudi Arabia kumkatakata baba yao kama nyama ya mishikaki na kumyeyusha kwenye acid huko Uturuki
Acha kibri kama wewe Muislamu kuwa open minded , tenga muda wa kutafakari na kusoma dini maana dini muongozo wake ni Qu'ran na Sunnah na sio matamanio ya mtu.Hayo ya Mungu au sio Mungu hayanihusu,mradi mie wali nimekula sikwenda kwao kuabudu nimeenda kula
Kwani hiyo Ina tofauti gani na waislam waliofurahia na kusherekea pamoja na waliofanya unyama wa MO29?Ingekuwa mtu amemua Mama yako mzazi na kumtukana Kisha kufanya Sherehe kwa ajili ya tukio hilo utampongeza na utapiga msosi kisa tu wewe haujashiriki mauaji ?