Nimekula pilau kwa rafiki zangu wakristo

safi sana bhana
 
Amedumisha ujirani mwema hajaenda kuabudu, mbona akili yako nzito sana ?
 
Upo sahihi kabisa
Unakuta shekhe analopoka mara ooh usile nguruwe, usishiriki mara masikukuu, LAKINI UPANDE WA PILI UNAKUTA NI MZINZI, MUONGO..sasa makatazo yote yanasaidia nini.
Tena anazini mpaka na vibinti vya kikristo.
 
Wacha udini wewe, watoto wenu wakiumwa mnaenda hospitali mnadungwa sindano na manesi waliotoka kupiga kitimoto na bia na mbona mnapona. Shwain
 
Muumini wa hovyo!mna ubaguzi wa kijinga sana ninyi.

Kualikwa ni kushiriki ibada?imani ipo moyoni haipo kwenye taste ya vitu mdomoni yaani nikiitwa kula nisiende kisa siyo dini yangu?huo ni uzwazwa!
 
Dini yenyewe umeletewa Tu..acheni UJINGA nyie mafala
 
Muumini wa hovyo!mna ubaguzi wa kijinga sana ninyi.

Kualikwa ni kushiriki ibada?imani ipo moyoni haipo kwenye taste ya vitu mdomoni yaani nikiitwa kula nisiende kisa siyo dini yangu?huo ni uzwazwa!
Ubaguzi gani mbona unashindwa kusoma vizuri na kuelewa ?

Mimi mwezi huu nimetoka kutembelea rafiki yangu tokea primary na secondary kwake tumepika na tumekula pamoja na kupiga stori pamoja na kumpa Zawadi bila shida yeyote.

Heshimu Imani za watu sikuu ni ibada kama ilivyokuwa mkiristo hawezi kuswali swala Tano msikitini kwa kuonyesha umoja na Waislamu sababu hiyo ni kushirikiana katika ibada . Ndio hivyo siwezi kushiriki katika X_Mass ni ibada kila kitu kinachohusiana .

Rais akiandaa Sherehe ya kusherekea mauji ya Oct 29 utaenda ikulu kula chakula cha hiyo Sherehe kisa ni chakula tu ?

X_ Mass ni happy birthday ya kuzaliwa Mungu au Mwana wa Mungu ambapo kutokana na Imani ya Kiislamu ni kufuru kubwa mno na kama matusi kwa muumba sasa kukaa meza Moja kula minofu na kugonga glass kwenye Sherehe ya kitu ambacho wewe unaamini ni kufuru si unafiki na kuunga mkono pamoja na kuwapongeza kwamba ni vizuri ?
 
Hayo ya Mungu au sio Mungu hayanihusu,mradi mie wali nimekula sikwenda kwao kuabudu nimeenda kula
Acha kibri kama wewe Muislamu kuwa open minded , tenga muda wa kutafakari na kusoma dini maana dini muongozo wake ni Qu'ran na Sunnah na sio matamanio ya mtu.

Mimi wakati nipo katika misimamo huo nilisema nitafuatilia kwa kusoma na kufikiria wala sikuwahi kujadili kwa ubishi na kiburi kama wewe .

Kwa maana hiyo nikimpa mzinzi Geto akadinye nitakuwa sawa kisa Mimi sijadinya , au nikamsifia mzinzi kwa tabia yake hapo nitakuwa nimemuunga mkono au vipi ?

Sawa kuenda kanisani kufagia na kupanga viti kwa ajili ya watu wafanye ibada zo kisa wewe haushirki ?

Au ni sawa kuomba mizimu kisa tu wewe tu uneonba lakini haumini kama mizimu ina uwezo wa Mungu ?

Watu wakienda kutoa makafara wewe ni sawa kuwapa usafiri na mbuzi kisa tu haushirki hiyo ibada hakuna ubaya ?

Sherehe za Christmas za kumkufuru Mwenyewezi Mungu na kufanya happy birthday yake sasa wewe una gonga glass unaona sawa je , ingekuwa Sherehe ya kumtukana Mama yako mzazi ungegonga glass kisa wewe haumtukani na haukubaliani na Hilo ?
 
Ingekuwa mtu amemua Mama yako mzazi na kumtukana Kisha kufanya Sherehe kwa ajili ya tukio hilo utampongeza na utapiga msosi kisa tu wewe haujashiriki mauaji ?
Kwani hiyo Ina tofauti gani na waislam waliofurahia na kusherekea pamoja na waliofanya unyama wa MO29?
Watu wameuwa wakajitangazia ushindi wakafurahi na wewe na wenzio mnafurahi na kuwaunga mkono.
Kwanini unachagua kukemea dhambi fulani na zingine haukemei unaunga mkono?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…