Nimekula pilau kwa rafiki zangu wakristo

Kama kungekuwa na kitimoto ungekula kabisa. Masheikh wasiokuwa na akili wanadhani krismasi ni kwa wakristo tu, hii ni sikukuu ya watu wote
 

Yesu anaheshimika kwenywe Quran.

Sasa imagine kuwa Christmas ni kusherehekea kuzaliwa kwa Nabii Issa na sio Yesu.

Napo hapo kuna shida?
😁😁😁😁

Ndugu zangu Waislam. Heri ya Christmas . Mkialikwa nenden mle Pilau la kuzaliwa kwa Nabii Issa.

Quran 60 :8
"Mwenyezi Mungu hawakatazeni kuwafanyia wema na haki wale wasio kupigana nanyi kwa ajili ya dini.”
 
Wewe si unahubiri kila siku kuhusu amani? Uvumilivu wa kidini ni muhimu kwa ajili ya amani.
 
Hayo ya Mungu au sio Mungu hayanihusu,mradi mie wali nimekula sikwenda kwao kuabudu nimeenda kula

Nilikuwa sijacheka leo 🀣
 
Alaf adriz gallow bird

Naomba ufafanuzi
Quran 33:56
"Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika Wake wanamsalia Nabii. Enyi mlioamini! Mswalieni na msalimu kwa salamu kamili.”

Kwahiyo hapa Allah alikuwa anaomuomba Allah.
Au?

Kwamba Allah anasema
"Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam".
 
Wana jf karibuni tule wali nyama, nipo mezani nalirusha na mke wangu.
 
Natakafuta muidlam mmoja nimnunulie kitimoto kavu na ndizi na soda baridi au bia
 

Umekula khafamu... Na huendi peponi kobe wewe... Hujamsikiliza sheikh
 
Kiarabu kipana ndugu,neno swala kwa kiarabu ni pana,Ili kuondoa kunisumbua unge-google tu, najua utakutana na majibu ikiwa kweli unataka jua
 
Wewe si unahubiri kila siku kuhusu amani? Uvumilivu wa kidini ni muhimu kwa ajili ya amani.
Hakuna mahali nimesema Wakristo wasisherehekee sikuu yao wala kuwakataza .

Ninachokipinga ni Waislamu kujihalalishia kusherekea X_mass ambayo ni ibada ya Kikiristo kusherekea kwa namna yeyote na kushiriki ni sawa na kuunga mkono ibada hiyo , maana ibada kuhusu kuzaliwa kwa Yesu ambaye Wakristo wanadai Mungu sasa kufurahi na kushiriki ni sawa na Kukubali ni unyama tu Yesu ni Mungu kitendo ambacho kinaweza kumtoa mtu nje ya Imani .

Uvumivu wa kidini kila mtu afanye yanayowahusu bila bugudha ndio maana sijawahi kuwaingilia Wakristo na mambo yao .

Mimi nina rafiki mkiristo juzi nimependa kwake tumekula kupiga stori mpaka Zawadi za Kijijini nimemletea , huo ni ushirikiano wa kawaida wa kijamii lakini Mimi siwezi kwenda kanisani kisa kudumisha umoja na Wala yeye hawezi kwenda msikitini kuonyesha umoja na Waislamu.

Sikukuu ni ibada ndio maana Iddi ya Waislamu Ina taratibu zake mpaka swala maalumu za Idi hata Christmas watu wanaenda makanisani .
 
Allaah kumswalia Mtume ni tofauti za sisi , swala ya Allaah kwa Mtume wake ni kumtaja kwa uzuri mbele ya malaika zake nk
 
Hivi ww maamuma unaakili timamu kweli ?!
 
Uislamu ibada yeyote ni haramu kufanya mpaka uambiwe ufanye na utafanya kwa mujibu wa maelekezo.

Inaweza kuwa kusherehekea si vibaya ila swali linakuja ni kwamba sherehe ni ibada je wapi mmeambiwa msherehekee na nani amekufundisheni hivyo ? kama kuzaliwa tu kwa Mtume Muhammad ( peace and blessings be upon Him) ambayo ni maulidi ni haramu sababu Allaah hajasema , yeye haukufanya Wala kuiamrisha watu washerekee siku ya kuzaliwa kwake.

Jua kwamba Uislamu tofauti na ukiristo Uislamu ukitaka kufanya ibada na kitu chochote cha dini ni lazima uangalie kama kipo na kinaruhusiwa na namna yake ya ufanyaji . Hata swala mtu hauswali jinsi unavyojua bali jinsi ilivyoelekezwa .
 
Hapo ukijitazama kuanzia juu hadi chini ulivyovaa, products unazotumia mitandao utagundua ni mazao ya makafiri.
 
Acha kijana ale na kufurahi , wamatumbi sera yetu ni umoja na upendo ,haya madini mmeletewa tu, mbona papuchi za Wala kiti moto mnazifakamia na denda juu?
 
Nayaheshimu maoni yako japo siyakubali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…