Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 4,152
- 8,631
You said it all.Acha kibri kama wewe Muislamu kuwa open minded , tenga muda wa kutafakari na kusoma dini maana dini muongozo wake ni Qu'ran na Sunnah na sio matamanio ya mtu.
Mimi wakati nipo katika misimamo huo nilisema nitafuatilia kwa kusoma na kufikiria wala sikuwahi kujadili kwa ubishi na kiburi kama wewe .
Kwa maana hiyo nikimpa mzinzi Geto akadinye nitakuwa sawa kisa Mimi sijadinya , au nikamsifia mzinzi kwa tabia yake hapo nitakuwa nimemuunga mkono au vipi ?
Sawa kuenda kanisani kufagia na kupanga viti kwa ajili ya watu wafanye ibada zo kisa wewe haushirki ?
Au ni sawa kuomba mizimu kisa tu wewe tu uneonba lakini haumini kama mizimu ina uwezo wa Mungu ?
Watu wakienda kutoa makafara wewe ni sawa kuwapa usafiri na mbuzi kisa tu haushirki hiyo ibada hakuna ubaya ?
Sherehe za Christmas za kumkufuru Mwenyewezi Mungu na kufanya happy birthday yake sasa wewe una gonga glass unaona sawa je , ingekuwa Sherehe ya kumtukana Mama yako mzazi ungegonga glass kisa wewe haumtukani na haukubaliani na Hilo ?
Sote ni watanzania mkuu kwenye mambo ya kijamii, biashara, utu na ubinadamu tuko pamoja ila kwenye mipaka ya dini yetu sisi hatupo tayari kwa huo ushirikiano ninyi malizeni mambo yenu mkimaliza tutaendelea na utanzania wetu kama kawaida.Bahati mbaya sana Watanzania hawajali hayo mambo.
Kwa hiyo sisi kuanzia Christmas hadi Eid tunasherehekea wote kwa pamoja bila kujali kitu.
Watu wanazini huko na linachukuliwa kama jambo la kawaida, lakini kusherehekea Christmas mnaona ni ukafiri
Sometimes ni bora tu tusingeletewa hizi dini huku Africa. Zinatutenganisha sana
Kumswalia mtume maana yake ni kumuomba allah aliyetukuka amsifu na kumtaja kwa wema mbele za viumbe watukufu huko mbinguni.Alaf adriz gallow bird
Naomba ufafanuzi
Quran 33:56
"Hakika Mwenyezi Mungu na Malaika Wake wanamsalia Nabii. Enyi mlioamini! Mswalieni na msalimu kwa salamu kamili.”
Kwahiyo hapa Allah alikuwa anaomuomba Allah.
Au?
Kwamba Allah anasema
"Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam".
Mashia ni mayahudi advanced na sio waislamu, siku nyingine ukiona mtu amevaa maguo meusi na kujiviringisha kitambaa kichwani kama amebeba nyoka jua sio muislamu ni mshia.Hawa ndiyo wenye dini Yao na hawana shida na Imani ya wengine View attachment 3520484
Ibada ni mfumo mzima wa maisha ya binadamu. Au wewe unajua Ibada ni kutawadha na kuingia misikitini tu?Kwani kuchomwa sindano ni ibada? mbona reasoning ya chekechea hii mkuu.
Kama Muislamu basi wewe ndio Muislamu mzigo katika huu Umma.
Unaanzaje kufurahia sherehe za ibada za dini nyingine na kushiriki ?
Sherehe za kuadhimisha kuzaliwa kwa Mungu ambapo kutokana na Imani yetu ya Kiislamu Yesu sio Mungu na Mungu hana Mwana ?
Yaani unakataa kuwa Yesu sio Mungu huku unafurahia sherehe yake utakuwa sawa kweli ?
Ibada kwa mujibu wa uislamu ndio kitu ninachozungumzia lakini kama ibada unayokusudia wewe ni universal hilo mimi sijui mkuu.Ibada ni mfumo mzima wa maisha ya binadamu. Au wewe unajua Ibada ni kutawadha na kuingia misikitini tu?
Unaelewa maana ya kuwa "open minded" wewe mujahideen??Acha kibri kama wewe Muislamu kuwa open minded , tenga muda wa kutafakari na kusoma dini maana dini muongozo wake ni Qu'ran na Sunnah na sio matamanio ya mtu.
Mimi wakati nipo katika misimamo huo nilisema nitafuatilia kwa kusoma na kufikiria wala sikuwahi kujadili kwa ubishi na kiburi kama wewe .
Kwa maana hiyo nikimpa mzinzi Geto akadinye nitakuwa sawa kisa Mimi sijadinya , au nikamsifia mzinzi kwa tabia yake hapo nitakuwa nimemuunga mkono au vipi ?
Sawa kuenda kanisani kufagia na kupanga viti kwa ajili ya watu wafanye ibada zo kisa wewe haushirki ?
Au ni sawa kuomba mizimu kisa tu wewe tu uneonba lakini haumini kama mizimu ina uwezo wa Mungu ?
Watu wakienda kutoa makafara wewe ni sawa kuwapa usafiri na mbuzi kisa tu haushirki hiyo ibada hakuna ubaya ?
Sherehe za Christmas za kumkufuru Mwenyewezi Mungu na kufanya happy birthday yake sasa wewe una gonga glass unaona sawa je , ingekuwa Sherehe ya kumtukana Mama yako mzazi ungegonga glass kisa wewe haumtukani na haukubaliani na Hilo ?
Mtu yeyote akiwa open minded na akili timamu lazima ataona tu Uislamu ndio dini ya sawa na Qu'ran ndio muongozo Bora kabisa katika maisha ya mwanadamuUnaelewa maana ya kuwa "open minded" wewe mujahideen??
Ukiwa open minded utaitupa Quran na kuachana na story za Mudy uanze kula na kitimoto kabisa, kama ni mwanamke utatupilia mbali niqab, buibui au ushungi uanze kutinga viwalo vya kwenda.