Nimekumbuka sana mazingira ya UDOM, Kama Kuna mtu yeyote ana picha ya UDOM naomba aposti hapa

Nimekumbuka sana mazingira ya UDOM, Kama Kuna mtu yeyote ana picha ya UDOM naomba aposti hapa

Ahmed Saidi

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2019
Posts
1,588
Reaction score
3,487
Wakuu, ni miaka mitatu now tangu nimemaliza huko mavumbini. Infact katika safari ya maisha yangu UDOM ndio sehemu ninayoikumbuka zaidi. Marafiki, routes za town, ujasi, hostel life e.t.c. Sikujua zile shida kama course work, kumiss test, kugombania venues, foleni za kusain book na ada Leo zimegeuka kumbukumbu mzuri ya kusimulia.
If you have any photo of this beautiful place, please post here😋
IMG_20190201_58463_09.jpg
IMG_20200206_180255_2.jpg
IMG_20210722_142645_1.jpg
 
Hivi mkuu gharama za hostel Udom ni kiasi gani? Na hulipwa kwa awamu au lah, je mwanafunzi wenye boom analipiwa au hostel unalipa mwenyewe cash????

Na chumba kinashare wangapi? Kwa hapa Udom??
 
Hivi mkuu gharama za hostel
Udom ni kiasi gani? Na hulipwa kwa awamu au lah, je mwanafunzi wenye boom analipiwa au hostel unalipa mwenyewe cash????
Na chumba kinashare wangapi? Kwa hapa udom??
Kwa kumbukumbu zangu (labda ibadilike saizi) ila Gharama za hostel unalipa kwa pamoja haina awamu, na zinalipwa cash ata kama una boom.

Chumba ni watu wa 4.

Gharama zake laki mbili na something hivi, lakini hazifiki laki tatu.
 
Kwa kumbukumbuk zangu (labda ibadilike saizi) ila Gharama za hostel unalipa kwa pamoja haina awamu, na zinalipwa cash ata kama una boom.

Chumba n watu wa 4.

Gharama zake laki mbili na something ivi, lakini hazifiki laki tatu.

Shukran sana bro
 
Aisee umenikumbusha zile prukushan za kugombania daladala pale Jamatini na kule Ngh'ongh'ona. Ujasi. Siku hizi naona imekuwa mji kabisa wakati enzi zetu miaka ya 2009 na kumi ilikuwa ndo Kwanza inaanza. Bati la kijani Kwa big
 
Aisee umenikumbusha zile prukushan za kugombania dara dara pale jamatini na kule ngh'ongh'ona. Ujasi. Siku hizi naona imekuwa mji kabisa wakati enzi zetu miaka ya 2009 na kumi ilikuwa ndo Kwanza inaanza. Bati la kijani Kwa big
🤣🤣🤣 Ila iyo zamani sana
 
Back
Top Bottom