Nimekumbuka sana mazingira ya UDOM, Kama Kuna mtu yeyote ana picha ya UDOM naomba aposti hapa

Nimekumbuka sana mazingira ya UDOM, Kama Kuna mtu yeyote ana picha ya UDOM naomba aposti hapa

UDOM upuuzi mtupu, chuo kinanuka mikojo kisa maji..
Maji mahi mahi, bonge la uwekezaji kasoro maji...bila uwekezaji wa maana wa kutafuta chanzo madhubuti cha maji UDOM ni ushenzi mtupu
 
UDOM upuuzi mtupu, chuo kinanuka mikojo kisa maji..
Maji mahi mahi, bonge la uwekezaji kasoro maji...bila uwekezaji wa maana wa kutafuta chanzo madhubuti cha maji UDOM ni ushenzi mtupu
Kabisa, maji ni changamoto na pia Kuna watu wengi sana pale chuoni. Vyanzo vipya vya maji lazma vipatikane
 
Wape hi hapo CBSL.

Picha ya kwanza umetoka Alpha
Unaenda block 1.
Picha ya 2
Kumbukumbu zangu zinaniambia hayo ni block 13&14
Nyuma ulikotoka ni block 16.

Kama sivyo ,basi ni kule juu
Block 1&2
Nyuma block 3.

Tupieni na picha nyingine colleges nyingine tupakumbuke hata kwa blocks,
Tiba siwaoni,Coed ,info,social.
IMG_20200205_180808_6.jpg
IMG_20200205_152119_6.jpg
IMG_20200205_152333_9.jpg
IMG_20200207_172636_0.jpg
IMG_20210722_142645_1.jpg
IMG_20210722_144652_6.jpg
IMG_20210722_155054_0.jpg
IMG_20210722_191100_8.jpg
 
Back
Top Bottom