Nimekumbuka sana mazingira ya UDOM, Kama Kuna mtu yeyote ana picha ya UDOM naomba aposti hapa

UDOM upuuzi mtupu, chuo kinanuka mikojo kisa maji..
Maji mahi mahi, bonge la uwekezaji kasoro maji...bila uwekezaji wa maana wa kutafuta chanzo madhubuti cha maji UDOM ni ushenzi mtupu
 
UDOM upuuzi mtupu, chuo kinanuka mikojo kisa maji..
Maji mahi mahi, bonge la uwekezaji kasoro maji...bila uwekezaji wa maana wa kutafuta chanzo madhubuti cha maji UDOM ni ushenzi mtupu
Kabisa, maji ni changamoto na pia Kuna watu wengi sana pale chuoni. Vyanzo vipya vya maji lazma vipatikane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…