Nimekuta Condom na kilainishi kwenye Pochi ya Mke wangu

Inauma sana sana. 😣😥😭😡😠
Ila at least anajikinga!
 
Kilainishi umekiona wapi ?
 
Ndugu yangu
Huu ushauri unaoutafuta kutoka kwetu usije ukajutia lakini.

Huyo mkeo ashaona unachepuka sana na sasa kaamua kupiga na kushinda mechi zake pia. Hiko kilainishi huwa kinatumika kama limbwata kumshikilia mchepuko wake. Mchepuko anakula mazao na mbolea.


Kuwa mpole, jirekebishe maana mwanamke akishaanza kuchepuka kifuatacho ni members wa JF kujulishwa member wa Jf kutangulia mbele za haki
 
inawezekana kuna mtu aliziweka bahati mbaya kwenye pochi yake
 
Ungebadili heading useme nimekuta condom kwenye begi la mume wangu.

Namtaka mwanaume kama wewe walai.
Japo naendelea kupitia changamoto naona pia unanitusi badala ya kunishauri
 
Yani hiyo kesi ni sawa na bange ikikutwa imeota shambani kwakoo ni yako ,ila dhahabu ni za serekali, mkuu huyo ni muhujumu uchumi astahili dhamana
 
Asante kwa ushauri ndugu ila najaribu kumwambia mchungaji nione atanisaidiaje
Samahani mkuu Kwa hilo umenikera sana.wanaume ni majasiri katika familia zao Siri za chumbani zinabaki chumbani wana JF wengi hatujuani sio mbaya sana. mueke chini mkeo akuambie ukweli Kwanza usikurupuke Kwa kila mtu kumuelezea mambo hayo
 
Kama kusoma hujui hata picha nayo huoni? Wenzako wanafukua hadi mtaro.
 
Si kweli, you'r gosping, Hakika sio kweli, wenye wake tukiona hivo tunafaham reaction zetu, sio hizo zako. Sio kwel nasema
Ni kweli lakin kuna aina nyingi za wanawake huenda jamaa alishawahiwa, means alishapigwa limbwata la maisha so huwezi jilinganisha nae. Haiwezekani uone condom plus kilainishi halafu upate mda wa kuja kuuliza huku jamvini
 
Kwani umlagi dog style uone kama tobo liko wazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…