Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

Mimi simu yake nakaa nayo 24 hrs, na Kila Simu inayopigwa lazima nijue ni nani, kwenye phone book yake lazima niwajue usipofanya hivyo utaishi na Malaya ndani, na atakudhalilisha maana akianza kugongwa nje wewe anakuvua nguo.
Unakaa naye 24hrs? Haiihitajiki siku nzima.kuwa cheated
 
Inawezekana una umia apa ,ukute huyo mtoto unaemwonea huruma ni wa jamaa wewe ni kama mpenzi mtazamaji tu.
 
Ukichunguza akili ya mleta mada utajifunza ni haki yake kuchapiwa kawaida mwanaume maswala kama haya kuna namna ya kuyamaliza kiume sasa unatuelezea lazima mwanamke wako aliwe na naombea kwa Mungu aliwe na wanaume zaidi ya 6 na uwajue wote upate presha ufe kenge mmoja
 
Unakaa naye 24hrs? Haiihitajiki siku nzima.kuwa cheated
Mimi pia nilikuta charting kwenye simu ya mkewangu nilichofanya niliongea na jamaa akaniambia mkewangu alimwambia hajaolewa hivyo alisikitika sana na kuniomba msamaha na kilichonipa moyo ni kuwa ndo alikuwa anaanza kutongoza nimemuonya wife na nachunguza mienendo yake
 
Mkeo ni next level
 
Wakuu habari.
Imeniuma saana, na tayari wanalove desire, mbaya zaidi tunamtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje?

Mbarikiwe!
Wanataniana tu hao. Wewe unavyofikiri mke wako anawwza akachepuka?
 
😃 😃 😃 😃 tatizo moja kila mtu ana namna yake ya kutatua vizuri kaomba ushauri. wengine wanauaa na kujiua wengine wanafukuza mke..wengine wanakuwa malaya na wao ila huyu mwanae ni mgonjwa ni vyema kaomba ushauri apime.
 
Pole sana, ushauri mzuri ni kumuacha.

Ilipaswa umuwashie moto palepale,hii ya hadi kuomba ushauri inadhihirisha huwezi muach huyo dem.
 
Wakuu habari.
Imeniuma saana, na tayari wanalove desire, mbaya zaidi tunamtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje?

Mbarikiwe!


Tulia kwanza mpaka hasira ziishe kabisa….then utapata majawabu..kikubwa afya ya mtoto…

Simu ya mwanamke usishike au mpenzi wako yoyote..ignorance is bliss…hakuna mtu perfect duniani…tamaa zipo na haziishi…..mara nyingi we marry for the wrong reasons sasa unayoyapata ndio matokeo yake…
 
Pakia mkongo huyo binadamu hakikisha umesugua mpaka udenda umemtoka ............hapo atajifunza kitu........kira akitaka kumwaga unamtajia makosa yake ..........uku unapereka moto balaaaa
Haya ufanywa na michepuko sababu uhakika Kesho hana na sio mke ndani
 
Sasa utajuaje kama unaishi kama Malaya usipokagua simu yake
 
Mi nilimfata jamaa alikua kinyozi lakini ana deal zingine.
Nikaenda kanyoa Nywele fresh kumaliza nikamdaka we flani ndiyo.
Twende huku,nikampeleka uchochoroni dogo kapiga magoti analia.
Bahati nzuri shetani wangu alikua yuko off siku hiyo.
Nilimpeleka mahali tukakaa kasimulia yote.
Nikamwambia wife njoo,niko mahali napiga mdudu kaja mbio.
Anakuta mchepuko wake kabananishwa,hapo kavimba vizuri tu.
Nikamwambia Sasa huna haja ya kuchepuka huyu mke namuacha hapa na wewe mkaleane.
Na wewe nimgonge akiwa kwako ndio utatia akili.
Na ole wako akose huduma.
Aah badae mi ikawa Kitonga tu nakula mzigo mda wowote
Hela matumizi anapewa na huyo bwa mdogo.
Wakileta ujinga wanakula makofi wote.
Iliisha vizuri tu,na mke yupo mpk kesho,siku hizi ananiita Baba kabisa.
 
Wakuu habari.
Imeniuma saana, na tayari wanalove desire, mbaya zaidi tunamtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje?

Mbarikiwe!
Mtoto huenda ni wa huyo jamaa,huwa anaulizia hali yake kiafya.
Ni upumbavu kuendelea kuishi na mwanamke aliyeonesha dalili za usaliti.
 
Katu usimsamehee msaliti
 
Wakuu habari.
Imeniuma saana, na tayari wanalove desire, mbaya zaidi tunamtoto ni mgonjwa anahitaji uangalizi wa mama. Naombeni ushauri, napitia hali ngumu saaana. Nifanyeje?

Mbarikiwe!

Kama mwanaume unge dili nalo bila kutangaza jf. Mwanamke aki cheat, rudisha kwao asap.
Mpaka atakapojirekebisha, tena arudi mwenyewe si kwa kumlazimisha wewe
 
Na mimi nakazia. Siwezi kukaa nyumba moja na msaliti nikajidanganya niko sawa au nimemsamehe. Roho yangu haiwezi kuwa sawa, hata iweje. Nikimuangalia usoni namuona kabisa msaliti huyu, ambaye niko naye lakini ameshindwa heshimu ndoa yake anajihangaisha nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…