Nimekuta mke wangu ana maongezi ya kimapenzi na mwanaume kwenye simu yake

Moyo wangu umeshachoka hata kushauri nimekata tamaa mapenzi hayashauriki mkuu kwakifupi hamna anae yajulia we pambana na msala wako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kuna mwamba anasemaga humu, havina muongozo
 
Dah ndoa izi yaan ulifurahi coz alikua anaanza afu umesahahu alisema hajaolewa maanake hayuko praud ww kuwa mmeo
 

Umeongea fact sana Mkuu..!
 
Kiufupi tuu ni kwamba, ukishajua ashalowa aise huna hata haja ya kuomba ushauri. Piga chini.

Narudia tena, huyo ndio tabia yake piga chini, mpe mtoto aende nae.
 
Ukiangalia watoto huwezi fukuza mke hata ukimkuta ndani ya kitanda chako.
Usione wanaume walio ndoani wanakufa mapema wameelemewa kubeba mengi ili kulinda watoto,hasa kama ulitoka kwenye malezi ya kutoachana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…