Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa



Ndoa imeshindwa kuvunjika lakini wewe unaendelea kupambana ivunjike
Kwani ukitulia inakugharimu nini!?

Kuna mambo ukiyajua huwezi kuendelea kuishi kwahiyo usiyatafute kwa nguvu

Mshukuru Mungu wako kwaajili ya busara za mume wako
 
Ndoa imeshindwa kuvunjika lakini wewe unaendelea kupambana ivunjike
Kwani ukitulia inakugharimu nini!?

Kuna mambo ukiyajua huwezi kuendelea kuishi kwahiyo usiyatafute kwa nguvu

Mshukuru Mungu wako kwaajili ya busara za mume wako
Hawa ndio wale wanaotafuta mahangaiko kwenye ndoa zao. Alitafutalo atalipata na baadae kujutia
 
una mcheat..?? jamaa kafanyaga vipimo vya DNA hadi kenya huko... yaonekana ulifanya kitu akapoteza imani kwa muda
 
Unachokitafuta utakipata
 
Mwanangu was kwanza ni Edina. Anafanana Sana Sana na second born wangu Kain, Cheupe wangu Blanc hafanani kabsaaa na wenzie.
Hapoy mnajua mzik unaoendelea.

Niombeeni
Mama Edina kisa mumeo ni mzee ndo umemcheat hivo hlf bila ya shaka yni unajitangaza bila ya wasiwasi kabisaaa

Ok karma is real na jua kua hakuna siri chini ya jua ipo siku itakayochomoza jua ukweli utajulikana tu
 
Naujua huo uzi sio mimi,
Yeye alisema yupo dodoma mimi nipo mbeya
 
Pia mimi na mwenzangu sio waajariwa, tunaishi kwa biashara tuu
 
Sisi Wa Ramli Changanishi Tunakuja Hivi
Bila Shaka Kapima Watoto Wenu DNA Kujua Kama Ni Wakwake Ama Laa
Yawezekana Kaambiwa Ni Wakwake Wote
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…