To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Not everything but mambo yanaenda....ndicho nachomshukuru MunguAsante sana my dear. Naimani kila kitu kiko powa kwa upande wako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Not everything but mambo yanaenda....ndicho nachomshukuru MunguAsante sana my dear. Naimani kila kitu kiko powa kwa upande wako.
Habari,
Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana.
Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu picha akaniambia ipo kwenye simu yake ya zamani ambayo ni mbovu kwa kiasi kikubwa.
Aliniambia nikaichukue na nilipoichukua akanipa password ili nichukue picha, kwa vile simu mbovu niliiangaika nikafanikiwa kuzichukua zile picha. Ila siunajua mume nikaamua kupekua kidogo simu nikaenda upande wa sms za kawaida sikukuta lolote baya ila nikakuta anatumiana sms na mtu mmoja anonekana ni mwanaume mwenzie kamsave jina la Doctor.
Kwa sms zile inaonekana alikuwa ni mwanaume nilishidwa kuscreenshoot coz simu ilikuwa mbovu hata kuandika pembeni nilishidwa coz mume alikuwepo palepale na mimi, na wameanzia mbali nafikili kuna zingine amefuta za juu, naamini zile alisahau kuzifuta, Ila ninakumbuka zilikuwa hivi.
Doctor: Kuwa na amani furahia ndoa yako, maana unaonekana wasiwasi ulikuwa nao mkubwa sana, naamini Sasa utakuwa na furaha na kumuamini mke wako.
Mume wangu: Asante sana hofu ilikuwa ni kubwa sana maana hii ishu nilifikisha mpaka kwa baba na baba akanishauri hivyo nilijaribu kufuata utaratibu wa kiserikali ila ulikuwa ni mgumu , na sikutaka nimshirikishe mke wangu. Kwa majibu haya nina amani sasa na furaha. Asante sana kwa ninisaidia.
Doctor: Ni changamoto za ndoa kijana hayo mambo yapo kwa wanaume wenzio wanayakuta hayo pole sana be strong now.
Mume wangu: Asante maana mimi sijawahi hata kucheat hata siku moja, sasa ningepata tofauti sijui ingekuwaje daaa. Maana nilienda mpaka kenya kupata jibu sahihi.
Doctor: Pole sana kwa vile ushajua basi kuwa Safi.
Mume wangu: Asante sana maana hata Baba nimemwambia kasema kama majibu yapo vizuri basi hakuna haja tena na kuwa na wasiwasi na mke wako.
Zipo nyingine sms zinaendea ila hizi zimenitia wasiwasi. Nimefikiria sana alifanya nini mume wangu, nimewauliza watu wengi kwenye magroup yetu ya wanawake na magroup ya ndoa. Wengi wanasema tuu achana nayo kwa vile ushaona kuwa hakuna shida yoyote na mume wako hajawakukucheat so usiwe na wasiwasi.
Ila mimi nahitaji kujua ni nini hicho mpaka kwenda Kenya?
Naombeni mnisaidie.
hapo kuna mtot amepimwa DNa
Kwa kifupi mumeo alihisi umemcheat
Haya kampikie mumeo ufurahie ndoa yako
Naimani nguvu ipo ya kupambana na hayo machache. Tushirikishane🙏Not everything but mambo yanaenda....ndicho nachomshukuru Mungu
Hawa ndio wale wanaotafuta mahangaiko kwenye ndoa zao. Alitafutalo atalipata na baadae kujutiaNdoa imeshindwa kuvunjika lakini wewe unaendelea kupambana ivunjike
Kwani ukitulia inakugharimu nini!?
Kuna mambo ukiyajua huwezi kuendelea kuishi kwahiyo usiyatafute kwa nguvu
Mshukuru Mungu wako kwaajili ya busara za mume wako
una mcheat..?? jamaa kafanyaga vipimo vya DNA hadi kenya huko... yaonekana ulifanya kitu akapoteza imani kwa mudaHabari,
Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana.
Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu picha akaniambia ipo kwenye simu yake ya zamani ambayo ni mbovu kwa kiasi kikubwa.
Aliniambia nikaichukue na nilipoichukua akanipa password ili nichukue picha, kwa vile simu mbovu niliiangaika nikafanikiwa kuzichukua zile picha. Ila siunajua mume nikaamua kupekua kidogo simu nikaenda upande wa sms za kawaida sikukuta lolote baya ila nikakuta anatumiana sms na mtu mmoja anonekana ni mwanaume mwenzie kamsave jina la Doctor.
Kwa sms zile inaonekana alikuwa ni mwanaume nilishidwa kuscreenshoot coz simu ilikuwa mbovu hata kuandika pembeni nilishidwa coz mume alikuwepo palepale na mimi, na wameanzia mbali nafikili kuna zingine amefuta za juu, naamini zile alisahau kuzifuta, Ila ninakumbuka zilikuwa hivi.
Doctor: Kuwa na amani furahia ndoa yako, maana unaonekana wasiwasi ulikuwa nao mkubwa sana, naamini Sasa utakuwa na furaha na kumuamini mke wako.
Mume wangu: Asante sana hofu ilikuwa ni kubwa sana maana hii ishu nilifikisha mpaka kwa baba na baba akanishauri hivyo nilijaribu kufuata utaratibu wa kiserikali ila ulikuwa ni mgumu , na sikutaka nimshirikishe mke wangu. Kwa majibu haya nina amani sasa na furaha. Asante sana kwa ninisaidia.
Doctor: Ni changamoto za ndoa kijana hayo mambo yapo kwa wanaume wenzio wanayakuta hayo pole sana be strong now.
Mume wangu: Asante maana mimi sijawahi hata kucheat hata siku moja, sasa ningepata tofauti sijui ingekuwaje daaa. Maana nilienda mpaka kenya kupata jibu sahihi.
Doctor: Pole sana kwa vile ushajua basi kuwa Safi.
Mume wangu: Asante sana maana hata Baba nimemwambia kasema kama majibu yapo vizuri basi hakuna haja tena na kuwa na wasiwasi na mke wako.
Zipo nyingine sms zinaendea ila hizi zimenitia wasiwasi. Nimefikiria sana alifanya nini mume wangu, nimewauliza watu wengi kwenye magroup yetu ya wanawake na magroup ya ndoa. Wengi wanasema tuu achana nayo kwa vile ushaona kuwa hakuna shida yoyote na mume wako hajawakukucheat so usiwe na wasiwasi.
Ila mimi nahitaji kujua ni nini hicho mpaka kwenda Kenya?
Naombeni mnisaidie.
Sasa hivi naskia mnajiita jeshi kubwaSio huku tu,kasema katuma hadi kwenye magroup ya wasap ya ndoa na wanawake[emoji1787][emoji1787]Aiseeh ndomana mie sinaga hizo ujinga za magrup[emoji120]sijui vikoba,sijui wanawake na ndoa,sijui wanawake wa shoka[emoji848]full kujazana upupu[emoji848]
Unachokitafuta utakipataHabari,
Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana.
Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu picha akaniambia ipo kwenye simu yake ya zamani ambayo ni mbovu kwa kiasi kikubwa.
Aliniambia nikaichukue na nilipoichukua akanipa password ili nichukue picha, kwa vile simu mbovu niliiangaika nikafanikiwa kuzichukua zile picha. Ila siunajua mume nikaamua kupekua kidogo simu nikaenda upande wa sms za kawaida sikukuta lolote baya ila nikakuta anatumiana sms na mtu mmoja anonekana ni mwanaume mwenzie kamsave jina la Doctor.
Kwa sms zile inaonekana alikuwa ni mwanaume nilishidwa kuscreenshoot coz simu ilikuwa mbovu hata kuandika pembeni nilishidwa coz mume alikuwepo palepale na mimi, na wameanzia mbali nafikili kuna zingine amefuta za juu, naamini zile alisahau kuzifuta, Ila ninakumbuka zilikuwa hivi.
Doctor: Kuwa na amani furahia ndoa yako, maana unaonekana wasiwasi ulikuwa nao mkubwa sana, naamini Sasa utakuwa na furaha na kumuamini mke wako.
Mume wangu: Asante sana hofu ilikuwa ni kubwa sana maana hii ishu nilifikisha mpaka kwa baba na baba akanishauri hivyo nilijaribu kufuata utaratibu wa kiserikali ila ulikuwa ni mgumu , na sikutaka nimshirikishe mke wangu. Kwa majibu haya nina amani sasa na furaha. Asante sana kwa ninisaidia.
Doctor: Ni changamoto za ndoa kijana hayo mambo yapo kwa wanaume wenzio wanayakuta hayo pole sana be strong now.
Mume wangu: Asante maana mimi sijawahi hata kucheat hata siku moja, sasa ningepata tofauti sijui ingekuwaje daaa. Maana nilienda mpaka kenya kupata jibu sahihi.
Doctor: Pole sana kwa vile ushajua basi kuwa Safi.
Mume wangu: Asante sana maana hata Baba nimemwambia kasema kama majibu yapo vizuri basi hakuna haja tena na kuwa na wasiwasi na mke wako.
Zipo nyingine sms zinaendea ila hizi zimenitia wasiwasi. Nimefikiria sana alifanya nini mume wangu, nimewauliza watu wengi kwenye magroup yetu ya wanawake na magroup ya ndoa. Wengi wanasema tuu achana nayo kwa vile ushaona kuwa hakuna shida yoyote na mume wako hajawakukucheat so usiwe na wasiwasi.
Ila mimi nahitaji kujua ni nini hicho mpaka kwenda Kenya?
Naombeni mnisaidie.
Na mimi ndo nimeelewa hivyo. Jamaa alipata gono akaenda kupima, amepona na amemsamehe wife bila masharti. Sasa huyu pimbi anataka kumtonesha tenaBwana huyo alipata ugonjwa.. Maana amesema hajawahi cheat so alipata ugonjwa wa zinaa akahisi umemletea
Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa ndio wale wanaotafuta mahangaiko kwenye ndoa zao. Alitafutalo atalipata na baadae kujutia
Ulimcheat mumeo?Mwanangu was kwanza ni Edina. Anafanana Sana Sana na second born wangu Kain, Cheupe wangu Blanc hafanani kabsaaa na wenzie.
Hapoy mnajua mzik unaoendelea.
Niombeeni
Mama Edina kisa mumeo ni mzee ndo umemcheat hivo hlf bila ya shaka yni unajitangaza bila ya wasiwasi kabisaaaMwanangu was kwanza ni Edina. Anafanana Sana Sana na second born wangu Kain, Cheupe wangu Blanc hafanani kabsaaa na wenzie.
Hapoy mnajua mzik unaoendelea.
Niombeeni
Naujua huo uzi sio mimi,Kuna jamaa alileta uzi humu baada ya kuona mtoto wake amefanana na workmate wa mke wake ambao happy awalu walikuwa wanafanya kqzi pamoja na Sasa wamehamia ofisi nyingine akashauriwa apime dna kwa Siri. Au Kama ulishawahi kuchepuka mumeo alishtukia akaamua apime dna watoto
Pia mimi na mwenzangu sio waajariwa, tunaishi kwa biashara tuuKuna jamaa alileta uzi humu baada ya kuona mtoto wake amefanana na workmate wa mke wake ambao happy awalu walikuwa wanafanya kqzi pamoja na Sasa wamehamia ofisi nyingine akashauriwa apime dna kwa Siri. Au Kama ulishawahi kuchepuka mumeo alishtukia akaamua apime dna watoto
Ni pm dearMwanangu was kwanza ni Edina. Anafanana Sana Sana na second born wangu Kain, Cheupe wangu Blanc hafanani kabsaaa na wenzie.
Hapoy mnajua mzik unaoendelea.
Niombeeni
😄😁😅watoto feki
Kataa Ndoa
Kuna jamaa alileta uzi humu baada ya kuona mtoto wake amefanana na workmate wa mke wake ambao happy awalu walikuwa wanafanya kqzi pamoja na Sasa wamehamia ofisi nyingine akashauriwa apime dna kwa Siri. Au Kama ulishawahi kuchepuka mumeo alishtukia akaamua apime dna watoto