Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

DNA mbona jibu ni rahisi tu
 
Huyu jamaa hajaeleta mrejesho sijui kaishia wapi, basi inawezekana ni ya kutunga sio kweli .
Ila pole yake haya mambo yqnaumiza sana
 
Mimi binafsi kwa upeo wangu wa kuelewa Mambo nasema hivi, sms zote hizi ulizikariri hadi umezindika hapa?
Inawezekana story ni ya kweli ila umeongezea nyama
 
Tukusaidie uachane na mumeo au tukusaidie kivipi?
Mkuu kuwa soecific aina ya msaada unaoutaka kutoka kwa sisi wazee tunaojua kila kitu😆
 
Amekugutukia kuwa unaendelea kumpa k yule x wako hivyo akahisi hata watoto siyo wa kwake ndiyo kaenda kupima DNA, bahati yako kuwa papa.unagawa nje ila watoto umempa vinginevyo lingekuwakia.
 
Kwa kuwa hakuna tatizo kati yenu, na aliona ni kheri usishirikishwe, baki na amani yako. Nyie ni nafsi mbili, yanayoendelea katika nafsi ya mwenzi wako ni ngumu kuyajua.
 
Mwanangu was kwanza ni Edina. Anafanana Sana Sana na second born wangu Kain, Cheupe wangu Blanc hafanani kabsaaa na wenzie.
Hapoy mnajua mzik unaoendelea.

Niombeeni
Nafsi yako inasemaje? Maana kuombewa wakati unajua ulilofanya haitasaidia.
 
Swali kwako hujawahi kumcheet mumeo na Kama umewah basi alikustukia Ila alikaa kimya
 

DNA ya watoto
 
DNA testing huenda imefanyika hii assumption ile 50.
Vingivevyo Kama aliwahi kuumwa akihisi umepata ugonjwa wa zinaa alitaka kupata undani zaidi kwenda kufanya vipimo huenda hakuamini
 
Huyu alikuwa na wasiwasi umemwambukiza ugonjwa wa zinaa,ndio mAana doctor anamremind awe Safi,haiwezekani Kama Ni dna dicta amwambie kuwa Safi,angeseme uwe na amani
 
2019 haijaacha watu salama
 
Mambo ya familia yako umefikisha mpaka kwenye ma grp yenu!!!!!
nimewauliza watu wengi kwenye magroup yetu ya wanawake na magroup ya ndoa. Wengi wanasema tuu achana nayo kwa vile ushaona kuwa hakuna shida yoyote na mume wako hajawakukucheat so usiwe na wasiwasi.
 
Sasa si umuulize mwenyewe sisi tutajuaje na hatuishi nae?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…