Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Kwa hiyo hapo unataka nini...ama kweli watu hampendi amani
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
DNA mbona jibu ni rahisi tuHabari,
Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana.
Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu picha akaniambia ipo kwenye simu yake ya zamani ambayo ni mbovu kwa kiasi kikubwa.
Aliniambia nikaichukue na nilipoichukua akanipa password ili nichukue picha, kwa vile simu mbovu niliiangaika nikafanikiwa kuzichukua zile picha. Ila siunajua mume nikaamua kupekua kidogo simu nikaenda upande wa sms za kawaida sikukuta lolote baya ila nikakuta anatumiana sms na mtu mmoja anonekana ni mwanaume mwenzie kamsave jina la Doctor.
Kwa sms zile inaonekana alikuwa ni mwanaume nilishidwa kuscreenshoot coz simu ilikuwa mbovu hata kuandika pembeni nilishidwa coz mume alikuwepo palepale na mimi, na wameanzia mbali nafikili kuna zingine amefuta za juu, naamini zile alisahau kuzifuta, Ila ninakumbuka zilikuwa hivi.
Doctor: Kuwa na amani furahia ndoa yako, maana unaonekana wasiwasi ulikuwa nao mkubwa sana, naamini Sasa utakuwa na furaha na kumuamini mke wako.
Mume wangu: Asante sana hofu ilikuwa ni kubwa sana maana hii ishu nilifikisha mpaka kwa baba na baba akanishauri hivyo nilijaribu kufuata utaratibu wa kiserikali ila ulikuwa ni mgumu , na sikutaka nimshirikishe mke wangu. Kwa majibu haya nina amani sasa na furaha. Asante sana kwa ninisaidia.
Doctor: Ni changamoto za ndoa kijana hayo mambo yapo kwa wanaume wenzio wanayakuta hayo pole sana be strong now.
Mume wangu: Asante maana mimi sijawahi hata kucheat hata siku moja, sasa ningepata tofauti sijui ingekuwaje daaa. Maana nilienda mpaka kenya kupata jibu sahihi.
Doctor: Pole sana kwa vile ushajua basi kuwa Safi.
Mume wangu: Asante sana maana hata Baba nimemwambia kasema kama majibu yapo vizuri basi hakuna haja tena na kuwa na wasiwasi na mke wako.
Zipo nyingine sms zinaendea ila hizi zimenitia wasiwasi. Nimefikiria sana alifanya nini mume wangu, nimewauliza watu wengi kwenye magroup yetu ya wanawake na magroup ya ndoa. Wengi wanasema tuu achana nayo kwa vile ushaona kuwa hakuna shida yoyote na mume wako hajawakukucheat so usiwe na wasiwasi.
Ila mimi nahitaji kujua ni nini hicho mpaka kwenda Kenya?
Naombeni mnisaidie.
Huyu jamaa hajaeleta mrejesho sijui kaishia wapi, basi inawezekana ni ya kutunga sio kweli .Mtoto wangu hafanani na mimi kabisa, anafanana na mtu anayefanya kazi na mke wangu ofisi moja
Ndugu zangu habari za Jumatatu, nawasalim. Mimi na mke wangu tumebahatika kupata watoto wawili kwenye ndoa yetu yenye miaka nane. Sisi wote ni waajiriwa, kwa muda mrefu, nimekuwa nikijiuliza mtoto wangu wa pili amefanana na nani, maana hafanani na mama yake wala hafanani na mimi na wala...www.jamiiforums.com
Mimi binafsi kwa upeo wangu wa kuelewa Mambo nasema hivi, sms zote hizi ulizikariri hadi umezindika hapa?Habari,
Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana.
Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu picha akaniambia ipo kwenye simu yake ya zamani ambayo ni mbovu kwa kiasi kikubwa.
Aliniambia nikaichukue na nilipoichukua akanipa password ili nichukue picha, kwa vile simu mbovu niliiangaika nikafanikiwa kuzichukua zile picha. Ila siunajua mume nikaamua kupekua kidogo simu nikaenda upande wa sms za kawaida sikukuta lolote baya ila nikakuta anatumiana sms na mtu mmoja anonekana ni mwanaume mwenzie kamsave jina la Doctor.
Kwa sms zile inaonekana alikuwa ni mwanaume nilishidwa kuscreenshoot coz simu ilikuwa mbovu hata kuandika pembeni nilishidwa coz mume alikuwepo palepale na mimi, na wameanzia mbali nafikili kuna zingine amefuta za juu, naamini zile alisahau kuzifuta, Ila ninakumbuka zilikuwa hivi.
Doctor: Kuwa na amani furahia ndoa yako, maana unaonekana wasiwasi ulikuwa nao mkubwa sana, naamini Sasa utakuwa na furaha na kumuamini mke wako.
Mume wangu: Asante sana hofu ilikuwa ni kubwa sana maana hii ishu nilifikisha mpaka kwa baba na baba akanishauri hivyo nilijaribu kufuata utaratibu wa kiserikali ila ulikuwa ni mgumu , na sikutaka nimshirikishe mke wangu. Kwa majibu haya nina amani sasa na furaha. Asante sana kwa ninisaidia.
Doctor: Ni changamoto za ndoa kijana hayo mambo yapo kwa wanaume wenzio wanayakuta hayo pole sana be strong now.
Mume wangu: Asante maana mimi sijawahi hata kucheat hata siku moja, sasa ningepata tofauti sijui ingekuwaje daaa. Maana nilienda mpaka kenya kupata jibu sahihi.
Doctor: Pole sana kwa vile ushajua basi kuwa Safi.
Mume wangu: Asante sana maana hata Baba nimemwambia kasema kama majibu yapo vizuri basi hakuna haja tena na kuwa na wasiwasi na mke wako.
Zipo nyingine sms zinaendea ila hizi zimenitia wasiwasi. Nimefikiria sana alifanya nini mume wangu, nimewauliza watu wengi kwenye magroup yetu ya wanawake na magroup ya ndoa. Wengi wanasema tuu achana nayo kwa vile ushaona kuwa hakuna shida yoyote na mume wako hajawakukucheat so usiwe na wasiwasi.
Ila mimi nahitaji kujua ni nini hicho mpaka kwenda Kenya?
Naombeni mnisaidie.
Tukusaidie uachane na mumeo au tukusaidie kivipi?Habari,

Kwa kuwa hakuna tatizo kati yenu, na aliona ni kheri usishirikishwe, baki na amani yako. Nyie ni nafsi mbili, yanayoendelea katika nafsi ya mwenzi wako ni ngumu kuyajua.Habari,

Nafsi yako inasemaje? Maana kuombewa wakati unajua ulilofanya haitasaidia.Mwanangu was kwanza ni Edina. Anafanana Sana Sana na second born wangu Kain, Cheupe wangu Blanc hafanani kabsaaa na wenzie.
Hapoy mnajua mzik unaoendelea.
Niombeeni
Swali kwako hujawahi kumcheet mumeo na Kama umewah basi alikustukia Ila alikaa kimyaHabari,
Mimi na mwenzangu tumeishi miaka kama 13 kwenye ndoa yetu na tumebarikiwa na kuwa na watoto 2. Niseme ukweli hatujawahi kukorofishaba au kugombana tunapendana sana.
Sasa wiki mbili zilizopota kuna picha moja nilipigaga na mume wangu na watoto. Niliikumbuka nikamuuliza mume wangu kuhusu picha akaniambia ipo kwenye simu yake ya zamani ambayo ni mbovu kwa kiasi kikubwa.
Aliniambia nikaichukue na nilipoichukua akanipa password ili nichukue picha, kwa vile simu mbovu niliiangaika nikafanikiwa kuzichukua zile picha. Ila siunajua mume nikaamua kupekua kidogo simu nikaenda upande wa sms za kawaida sikukuta lolote baya ila nikakuta anatumiana sms na mtu mmoja anonekana ni mwanaume mwenzie kamsave jina la Doctor.
Kwa sms zile inaonekana alikuwa ni mwanaume nilishidwa kuscreenshoot coz simu ilikuwa mbovu hata kuandika pembeni nilishidwa coz mume alikuwepo palepale na mimi, na wameanzia mbali nafikili kuna zingine amefuta za juu, naamini zile alisahau kuzifuta, Ila ninakumbuka zilikuwa hivi.
Doctor: Kuwa na amani furahia ndoa yako, maana unaonekana wasiwasi ulikuwa nao mkubwa sana, naamini Sasa utakuwa na furaha na kumuamini mke wako.
Mume wangu: Asante sana hofu ilikuwa ni kubwa sana maana hii ishu nilifikisha mpaka kwa baba na baba akanishauri hivyo nilijaribu kufuata utaratibu wa kiserikali ila ulikuwa ni mgumu , na sikutaka nimshirikishe mke wangu. Kwa majibu haya nina amani sasa na furaha. Asante sana kwa ninisaidia.
Doctor: Ni changamoto za ndoa kijana hayo mambo yapo kwa wanaume wenzio wanayakuta hayo pole sana be strong now.
Mume wangu: Asante maana mimi sijawahi hata kucheat hata siku moja, sasa ningepata tofauti sijui ingekuwaje daaa. Maana nilienda mpaka kenya kupata jibu sahihi.
Doctor: Pole sana kwa vile ushajua basi kuwa Safi.
Mume wangu: Asante sana maana hata Baba nimemwambia kasema kama majibu yapo vizuri basi hakuna haja tena na kuwa na wasiwasi na mke wako.
Zipo nyingine sms zinaendea ila hizi zimenitia wasiwasi. Nimefikiria sana alifanya nini mume wangu, nimewauliza watu wengi kwenye magroup yetu ya wanawake na magroup ya ndoa. Wengi wanasema tuu achana nayo kwa vile ushaona kuwa hakuna shida yoyote na mume wako hajawakukucheat so usiwe na wasiwasi.
Ila mimi nahitaji kujua ni nini hicho mpaka kwenda Kenya?
Naombeni mnisaidie.
Habari,

2019 haijaacha watu salamaHabari,

nimewauliza watu wengi kwenye magroup yetu ya wanawake na magroup ya ndoa. Wengi wanasema tuu achana nayo kwa vile ushaona kuwa hakuna shida yoyote na mume wako hajawakukucheat so usiwe na wasiwasi.
Sasa si umuulize mwenyewe sisi tutajuaje na hatuishi nae?Habari,