Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

Endelea kuwa mwaminifu hivohivo unaishi na mwanaume mjanja,kingine funga mdomo wako kama hujawahi kuona ,hope he is happy kuona analea damu yake.
Hivi inakuwaje kitu kidogo hivo unapeleka mpaka kwenye magroup gani sijui hayo magroup huwa mnafundishana nini huko
 
Kuna mtoto au watoto alikuwa anaona kabisa kapigwa kaibiwa sijajua kwa muonekano wa watoto au tabia zao au tabia zako akamshirikisha baba yake na DNA akapima na watoto kakuta ni wake sasa usichoelewa hapo ni nini.
 
Punguza umalaya

Pengine mumeo anasiri kubwakwako na hujui na ilipelekea akampime mtoto DAN

Lakini wewe umeona hilo tayari unaaza kutusumbua hapa
 
Hapo inaonekana alikuwa na wasi wasi na mtoto au watoto wenu inawezekana kuna mtu alimwambia umalaya unayofanya na kuwa mtoto si wako , jamaa ikabidi akafanye vipimo vya DNA Kenya ili kujua ukweli, Kwa mujibu wa sms vipimo vitakiwa vimesoma vizuri.
 
Bila shaka beki za huyu mwanamke hazikabi ndio maana jamaa hamuamini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…