Nimekuta SMS hizi kwenye simu ya zamani ya Mume wangu, sijazielewa naombeni mnisaidie mlioko kwenye Ndoa

Hiyo fukunyuafukunyua itakugharimu
 
Haswaaaa
 
Umeambiwa uchukue picha,wewe unasoma na meseji,huu si ni ukorofi kweli?!!.

Sent from my V1901A using JamiiForums mobile app
 
Tajiri kweli nimekumbuka tena hii ilikuwa ajenda namba 1 .ila sasa tupe connection ya kupima bila mambo ya kipuuz ya serikali mara sijui mwanasheria sijui.nasikia kuna sehemu arusha ila hebu tupe nondo
 
Kwa mtazamo wangu,kati ya hao watoto mlio nao,kuna mmja au wote mume wako,alikuja kugundua hawafanani na yeye wala aidha wewe,hivyo wasiwasi wako ukampelekea kuwashirikisha wazazi wake,na hakupata majibu sahihi,badae akaamua kufanya vipimo vya vinasaba kwa watoto lakin kwa bahati nzuri alikuta watoto wote ni wake.

Nampongeza sana,Mume wako,hakutaka kulianzisha bila ushahid,na sion haja ya wew kuliwazia zaidi,kwan utaondoa aman iliyopo.

Na kwa sasa anakuamin zaid ya mwanzo,lakin kama unapenda ndoa yako,usipende sana kuchunguza simu ya mume wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…