Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 33,643
- 36,090
Umechemsha pakubwa...!!!Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
ππ poleβ¦ ukute sie ndo michepuko yenyewe..Yani comments zote humu ni za kunishambulia especially wanawake, you people are heartless as if nyie hamjawahi kufanya haya, tena uskute nyie ndo mmefanya makubwa zaidi yangu . Nobody is perfect and us humans we make mistakes
Hamjui mm Sasa hivi nipo kwenye situation gani na nipo wapi mnaendelea tu kunishambulia na kuniongezea maumivu. Yani binadamu Ndio tumefikia huku [emoji20][emoji17]
Wabongo bhana mapenzi na mpiraThread ya kijinga watu ndo wanachangia nyie viumbe twenden kule kwenye jukwaa la siasa
Usijali haupo peke ako mimi pia nimefumania sms kibao jamaa anawasifia wanawakeβ¦
Hii ni baada ya kuona kila sehemu empty nikasema ngoja nizame fb messenger na Ig DM heeeeee huyu jamaa kazi yake ni kutuma namba yake wamtafute
Ukweli niliumiaa ila sijamuuliza mpk Leo na penzi limenogaa.. sema nimeamini Mungu anakupa wa kufanana
Hivi bongo kuna domestic violence issues ? Wazungu kwenye DV uki arrestiwa unadhani waisraeli wamepata kiongozi wa Hammasbora kumfukuza, ukimpiga domestic violence inakuhusuπ
fear women
Asante dear
Yani nilishindwa kabisa nina hasira mbaya
Leo hutalala na meno yako!
Hahahahhhh2. My guy my guy!! Uko na cheti cha ndoa?
Utaziweza tyuu!!!πππWee udugu Ngosha who which where weeeh sheeendwaaaaa! Hekaheka za jf naziwezea wapi staki mi! ππ
Nimeridhika napambana naharee yangu humu hata rafiki tu staki kabisa miπ€ !Utaziweza tyuu!!!πππ
Mbona za mwanzo uliziweza? Vipi sasa bro ushaanza kumbebisha π
πππ usimfanyie hivo Ngosha umemjaza jana hapa had umemvuruga ss hivi unamkataa!!!Nimeridhika napambana naharee yangu humu staki miπ€ !
π€£!πππ usimfanyie hivo Ngosha umemjaza jana hapa had umemvuruga ss hivi unamkataa!!!
Umekuwa bff wangu anamjaza mzee wa loose balls akijaa anamruka km sio yeye πππ
Ndio wanavyosema wakagua vikojoleo vya watu wa makabila mbalimbali π€£π€£π€£Vifurushi vya mweziπ€£π€£π€£!
Wee sema kweli udugu π€π€!
Nilikua sijuiio heko kwao asee!
Nilisikia pia baadhi hawayakatagi yale mangozi juu ya head!πΆπ»ββοΈNdio wanavyosema wakagua vikojoleo vya watu wa makabila mbalimbali π€£π€£π€£
π€£π€£π€£ hatareee!! Sasa wanakuwa na ladha gani?? Ngoja wizo aje atuambie yeye ni mtaalamu BICHWA KOMWE - wizo emu niambie najua wewe kabali yao π€£π€£π€£Nilisikia pia baadhi hawayakatagi yale mangozi juu ya head!πΆπ»ββοΈ
Vifurushi vya mwezi ndo nini?ππππ Si wanasema wana vifurushi vya mwezi eti?? Wakifatiwa na ndugu zao Maasai.
Eti Nyakanga wangu mama k kuna ukweli hapo??