Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Polesana kikawaida inaumiza ila usiruhusu hasira zikutawale wanaume hawajawahi kutulia ilo ulijue kabisa utafanya vurugu mara ngapi kipenz
We jamaa snitch sana unatuuza upate ujiko
 
We lofa saana, ungeweka kisu kwenye mto akija baadae unampokea vizur then wakat wakulala unajifanya umemmis mno then kwenye mchezo ukianza unajifanya kukumbatia mto unachukua kisu unakata mkia wake huo.. sa umechoma nguo ndo nn
 
kama ni yuor guy huwaga hawana nomaaa... ila kama ungesema mwanaume wangu bhasi ungejua hujui
 
What do you mean bu your guy?

Ni roibot ulilitengeneza wewe au mliowana kisheria au mnafanya uasherati tu ukakukolea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…