Hapo nyumbani ni pa nani, kwako au kwake?Bado hataki kunisamehe na hataki kurudi nyumbani
Sijui Ndio amepatia hapo sababu [emoji24]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo nyumbani ni pa nani, kwako au kwake?Bado hataki kunisamehe na hataki kurudi nyumbani
Sijui Ndio amepatia hapo sababu [emoji24]
Hapo nyumbani ni pa nani, kwako au kwake?
Polesana kikawaida inaumiza ila usiruhusu hasira zikutawale wanaume hawajawahi kutulia ilo ulijue kabisa utafanya vurugu mara ngapi kipenz
sasa na wewe umekurupuka,dada ako unachat nae mapenzi..? Wewe inatakiwa upigwe mawe hadi kufaNikirudi salama yako nisikukute, nimepokea malalamiko kwa baadhi ya uliowatafuta akiwemo dada yangu, sasa dada yangu umemtafuta yanini?
ujakutana na wanawake ambao wana wivu kiasi cha kupiga namba zote zilizoseviwa majina ya kike bila kujali unahusianaje nao.sasa na wewe umekurupuka,dada ako unachat nae mapenzi..? Wewe inatakiwa upigwe mawe hadi kufa
Ur material woman. Mwanamke asiye na wivu hana upendo. Ni cheater kwahiyo kuchitiwa haoni kama ni shida. La pili usipanic kuwa na hasira lkn jizuie. Wewe ni melancholinAsante kwa ushauri dear
We jamaa snitch sana unatuuza upate ujikoPolesana kikawaida inaumiza ila usiruhusu hasira zikutawale wanaume hawajawahi kutulia ilo ulijue kabisa utafanya vurugu mara ngapi kipenz
2. My guy my guy!! Uko na cheti cha ndoa?
We lofa saana, ungeweka kisu kwenye mto akija baadae unampokea vizur then wakat wakulala unajifanya umemmis mno then kwenye mchezo ukianza unajifanya kukumbatia mto unachukua kisu unakata mkia wake huo.. sa umechoma nguo ndo nnNimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Pole kama nimekukwazaWe jamaa snitch sana unatuuza upate ujiko
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣We ni mwehu eti?
Haha, shukrani mpare’ barikiwa..Depal mchango wako kwa hii post umefanya nikupende; Grown & matured lady
Big up!
Shikamoo dada DepalHaha, shukrani mpare’ barikiwa..
Marahaba mkuu, hujambo?Shikamoo dada Depal
Mi nipo gado mkuuMarahaba mkuu, hujambo?
What do you mean bu your guy?Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi? I don’t know what to do or how to act.
Natafuta Binti wa kumtoa out ChristmasMarahaba mkuu, hujambo?
Kila la kheriNatafuta Binti wa kumtoa out Christmas