Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

nguvu uliyoitumia kuchoma moto nguo za 'the so-called your guy' na kuwapigia hao wanawake ndiyo hiyo hiyo uitumie kujua ufanyeje?
 
Usijali haupo peke ako mimi pia nimefumania sms kibao jamaa anawasifia wanawake…

Hii ni baada ya kuona kila sehemu empty nikasema ngoja nizame fb messenger na Ig DM heeeeee huyu jamaa kazi yake ni kutuma namba yake wamtafute [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukweli niliumiaa ila sijamuuliza mpk Leo na penzi limenogaa.. sema nimeamini Mungu anakupa wa kufanana
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
Nikirudi nisikukute hapo. Si simu yangu hutaki kupokea! Nishapata taarifa. Ama zako ama zangu, subiri nifike. Utalipa
 
Back
Top Bottom