Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Alioufanya sio upendo ni ukichaa, utamu wa ngoma ingia ucheze, usijaribu.Natamani nipate mwanamke anayenipenda hivi,mwenye wivu hivi nami nimpende the same
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alioufanya sio upendo ni ukichaa, utamu wa ngoma ingia ucheze, usijaribu.Natamani nipate mwanamke anayenipenda hivi,mwenye wivu hivi nami nimpende the same
'your guy' sio yule boss wako mnamgombania kule ofisini?Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
rekebisha kiuno, hata chuma utiwa vilainishi
Yaani bahati kama hizi sizipatagi mimi [emoji41]Ujinga kama huo kuna mwenzio alisogezwa kizazi sambamba na kutenguliwa nyonga.
Hasira gani hizo hadi kuchoma nguo za mwenza wako!?
bora kumfukuza, ukimpiga domestic violence inakuhusu😂Mimi kama My guy Nasemajeee...Andaa mashavu maana makofi utakayochezea sokwe akasome 😀
Kimbia haraka sana na utoke hapo nyumbani kwake la sivyo atakupiga na kukutoa nishai huku akikutukana matusi ya nguoni kama alivyofanya Gardner kwa Jay Dee miaka ile.Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
Hapo tu ni demu wa kuja na kutoka anafanya ujinga kama huu, je angeolewa na kuwa mke halali.....si angemchoma moto huyu mwenzetu?Ujinga kama huo kuna mwenzio alisogezwa kizazi sambamba na kutenguliwa nyonga.
Hasira gani hizo hadi kuchoma nguo za mwenza wako!?
Iepushe roho yako na kifo cha kujitakia. Simu,wewe na wenzio mtalala futi 6 mavumbini!Hapa acha nipite tu, maana chochote nitakachoandika hapa kulingana na vilivyo kichwani, lazima tu kitawaka kwenye PM huko. Acha nibaki kuwa sina maoni kwenye hili.
Ova
Usijali haupo peke ako mimi pia nimefumania sms kibao jamaa anawasifia wanawake…
Hii ni baada ya kuona kila sehemu empty nikasema ngoja nizame fb messenger na Ig DM heeeeee huyu jamaa kazi yake ni kutuma namba yake wamtafute [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ukweli niliumiaa ila sijamuuliza mpk Leo na penzi limenogaa.. sema nimeamini Mungu anakupa wa kufanana
Mtume yupi ? Mitume tunao wengi?Kama Mungu hakumfanya mtume wake kutoshewa na mwanamke mmoja basi hakuna mwanaume atatoshewa na mwanamke mmoja, Mungu hajamuumba huyo mwanaume. Maneno kwa hisani ya sheikh mmoja
Sasa hapo si unakua na kitu rohoni, bora uki address ili uwe Huru dear.
safi sana kumbe una akili,ili kumkomoa zaidi,choma na nyumba mnayoishi..Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.
Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
Kumbe ndomaana na simu akamuachia ili aone makusudi.😂😂
Ukute hizo sms zilitegeshwa makisudi azione afanye fujo ipatikane sababu.