Nimekuta SMS kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nikachoma moto nguo zake

Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
'your guy' sio yule boss wako mnamgombania kule ofisini?

vita vya panzi furaha ya kunguru😂
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
Kimbia haraka sana na utoke hapo nyumbani kwake la sivyo atakupiga na kukutoa nishai huku akikutukana matusi ya nguoni kama alivyofanya Gardner kwa Jay Dee miaka ile.
 
Usijali haupo peke ako mimi pia nimefumania sms kibao jamaa anawasifia wanawake…

Hii ni baada ya kuona kila sehemu empty nikasema ngoja nizame fb messenger na Ig DM heeeeee huyu jamaa kazi yake ni kutuma namba yake wamtafute [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Ukweli niliumiaa ila sijamuuliza mpk Leo na penzi limenogaa.. sema nimeamini Mungu anakupa wa kufanana

Sasa hapo si unakua na kitu rohoni, bora uki address ili uwe Huru dear.
 
I don't know how to tell you this in the kindest way possible. As long as he's paying the bills, coming home without perfume or lipstick on him and giving what you need in bed, don't worry about anything else he's doing.

He has choosen you wala usihofu.

Nb: sipo hivyo kwa wangu
 
Sasa hapo si unakua na kitu rohoni, bora uki address ili uwe Huru dear.

Sasa hata niki address unazani atanipa majibu gani….

Mimi bado hajanioa so siwezi kumcontrol kiasi hicho ukizingatia nimeingia privacy ya mtu bila mwenyewe kujua so hata ningemwambia isingebadilika kitu zaid zaid tungegombana tu

Nimeacha mambo yapiteee
 
Nimekuta sms kibao za my guy anachat na other girls tena za kimapenzi, nimepata hasira sanaa kupelekea kuwapigia simu hao wanawake na kuwatukana na mwishoe nikaamua kuchoma moto nguo za my guy tena zile anazozipenda sana.

Right now am feeling guilty and satisfied at the same time na Sijui akirudi ata react vipi ? I don’t know what to do or how to act .
safi sana kumbe una akili,ili kumkomoa zaidi,choma na nyumba mnayoishi..
 
Back
Top Bottom