Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Aisee, em mtandike kwanza.
Sipendi mtu anayeweka mapedi hovyo panapoonekana.

Au anabadili kazini akirudi home anasahau kutoa? Na wewe kwanini unakagua pochi zake? We ni mdokozi?
Hiz mambo ni noma na kuna zile wadada wa dar wanaenda kusalimia kijijini na watoto wachanga wanatapanya pampas zilizotumika kila kona.
 
Mwenzako hataki kubeba mimba kwa sasa
Cc Bujibuji Simba Nyamaume

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Wala hakuna cha kutilia shaka, mambo ya usafi tu yamempita kando.

Nunueni dustbin awe anatupia humo kabla ya kuzichoma.

Ama la alizihifadhi akiwa nje ya nyumbani kasahau kutoa.

Ongea nae.
 
hii komenti ishanitia nyege, twendeni taratibu jamani wengine hatuna wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…