Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WTF.Katika pilika atakuwa kasahau. Limbwata hutengenezwa kwa damu ya hedhi mbichi. Inaungwa kwenye mchuzi wa nyama / samaki au maharage.yaani ananawia kwenye sufuria au bakuli kukingia ile inayotoka huko then ikiwa fresh inawekwa kwenye mboga
Ila nyie wadada wabiafsi sana kwani pochi zenu zina shida gani kama mtu ni mwandani wako tena mkeo , anaekujua kila kitu kuna ubaya gani pochi yako ikawa yake na yake ikawa yako?We jamaa, kwenye pochi ya mkeo unatafuta Nini?
Nijibu
Hiz mambo ni noma na kuna zile wadada wa dar wanaenda kusalimia kijijini na watoto wachanga wanatapanya pampas zilizotumika kila kona.Aisee, em mtandike kwanza.
Sipendi mtu anayeweka mapedi hovyo panapoonekana.
Au anabadili kazini akirudi home anasahau kutoa? Na wewe kwanini unakagua pochi zake? We ni mdokozi?
Mwenzako hataki kubeba mimba kwa sasaSiku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.
Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.
Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Si umeona lakini alichokikuta?Ila nyie wadada wabiafsi sana kwani pochi zenu zina shida gani kama mtu ni mwandani wako tena mkeo , anaekujua kila kitu kuna ubaya gani pochi yako ikawa yake na yake ikawa yako?
Mnatutisha sisi mabachela sugu et[emoji849]
umefufuka?Unamuuliza nani sasa???!!!
Apo shida ni yeye binafsi ,ila kwenye habari ya matumizi ya pesa wanawake anaeshirikiana kwenye bills na mumewe au boyfriend wake ,anavutia na mwanaume unajisikia kupendwa na kuwa huru sana kwake .Si umeona lakini alichokikuta?
Alivyo ajapita jando kaja kumwaga huku...
hii komenti ishanitia nyege, twendeni taratibu jamani wengine hatuna wakeNi kujisahau tu mkuu, Hakuna kitu kibaya... Mwambie awe anaweka kwenye kifungashio kimoja sio kuweka kila mahali ndio maana nyingine zinasahaulika.. Na soon akimaliza mzunguko azichome zote Kwa pamoja.
Mimi huwaga nazihesabu kabisa ili nijihakikishie Hakuna ambayo nimesahau
Hasira za mwenzio kuolewa, baby wake anamsaidia hadi kuchoma uchafuUnamuuliza nani sasa???!!!