Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Aisee, em mtandike kwanza.
Sipendi mtu anayeweka mapedi hovyo panapoonekana.

Au anabadili kazini akirudi home anasahau kutoa? Na wewe kwanini unakagua pochi zake? We ni mdokozi?
Hiz mambo ni noma na kuna zile wadada wa dar wanaenda kusalimia kijijini na watoto wachanga wanatapanya pampas zilizotumika kila kona.
 
Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.

Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.

Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Mwenzako hataki kubeba mimba kwa sasa
Cc Bujibuji Simba Nyamaume

Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
 
Wala hakuna cha kutilia shaka, mambo ya usafi tu yamempita kando.

Nunueni dustbin awe anatupia humo kabla ya kuzichoma.

Ama la alizihifadhi akiwa nje ya nyumbani kasahau kutoa.

Ongea nae.
 
Ni kujisahau tu mkuu, Hakuna kitu kibaya... Mwambie awe anaweka kwenye kifungashio kimoja sio kuweka kila mahali ndio maana nyingine zinasahaulika.. Na soon akimaliza mzunguko azichome zote Kwa pamoja.
Mimi huwaga nazihesabu kabisa ili nijihakikishie Hakuna ambayo nimesahau
hii komenti ishanitia nyege, twendeni taratibu jamani wengine hatuna wake
 
Back
Top Bottom