- Thread starter
- #81
Ujumbe mzito sana huu,Usitafute sana maana kwenye vitu vya mke wako, huyo ni ubavu wako muite muulize atakachokwambia amini hicho hicho
Huyo ndiyo wako wa kufanana naye
Ahsante sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ujumbe mzito sana huu,Usitafute sana maana kwenye vitu vya mke wako, huyo ni ubavu wako muite muulize atakachokwambia amini hicho hicho
Huyo ndiyo wako wa kufanana naye
Ushauri wako umepokelewaSie wengine pedi na mambo yote yanayohusu periods ni issue za mume kuanzia kuzingatia kalenda, kununua pedi, kuzibandika ili tukitoka kuoga tukute zipo tayari kwenye chupi mpk kuzichoma tunapozitoa.
Sikwambii uige ila hakuna uchawi wowote, period sio kitu cha kukihusisha na ushirikina. Ni kama mwanaume kuota ndevu!
Anyways
Hata sijui ka naweza kukushauri kitu.
Umetafuta uko stres na kaipataWe jamaa, kwenye pochi ya mkeo unatafuta Nini?
Nijibu
Faida ya Wasichana waliochezwa!Niliwahi kusikia sehemu mwanamke akificha hivyo pedi moja bila kuonekana na mtu anakuwa hashiki mimba hata ikiwa siku ya hatari, akitaka kubeba mimba anaitoa, na ikionekana na mtu mwingine kama hivyo inakuwa haifanyi kazi tena... birth control ya mabibi wa enzi
Lete shule lete shuleeee nasema lete shule mkuuMkeo mshirikina huyo, hua anaweka kwenye mboga baadhi ya vipande vya pedi vyenye damu.
Hujachezwa naweMkeo mchafu, ni vile hamtumii cdm lasivyo nazo ungekuwa unazikuta
Ndio nimekuwa puzzled sana asee, sijawahi kuona hiyo kitu used hata siku moja. Sijui wenzangu inakuwaje...Bora hata wewe uliiona kabatini mimi toka niwe na mke wangu mwaka wa 8 huu sijawahi kuiona ped yake anakoweka.
Wanawake wengi sana wanaojitambua ped na chupi zao wanapoanika huwez kujua au huwez kuona wamezitupa wapi sabab mtu mbaya akiishika tu ped yako umeisha kuanzia afya mpaka uzazi.
Na wengine huchukua ile ped ya siku ya kwanza ya mzunguko then anaifunga hapo utapiga hata miaka 6 hapati mimba siku akitaka mimba anaifungua ngoma imo na bahat mbaya ikipotea ikiwa imefungwa hapo atakufa hapo atakufa mgumba
🤣🤣🤣 Kwahiyo mi msungo?? MxieeeewwHujachezwa nawe
Pole! Sana🤣🤣🤣 Kwahiyo mi msungo?? Mxieeeeww
Ww mimi nimechezwa mkole naujua.!!Pole! Sana
Muulize mhusika huenda huwa akitoka nje huwa anakosa mazingira rafiki ya kutupa sasa anaibeba ili arudi kuitupa nyumbani Kisha anasahau. Lakini ni vizuri ukamuuliza mhusika maana yeye ndio mwenye jibu sahihi,Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.
Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.
Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Kwahiyo hukuona majina yote mpk uibe langu???Niliwahi kusikia sehemu mwanamke akificha hivyo pedi moja bila kuonekana na mtu anakuwa hashiki mimba hata ikiwa siku ya hatari, akitaka kubeba mimba anaitoa, na ikionekana na mtu mwingine kama hivyo inakuwa haifanyi kazi tena... birth control ya mabibi wa enzi
Afu nyakanga wako mie🤣Ww mimi nimechezwa mkole naujua.!!
Nimepitia nyago 10 upo.?? 🤣
Kabisa wifi yangu mwambie huyo 🤣🤣🤣Afu nyakanga wako mie🤣
Kuna mambo yamenizonga my wiii.....ila narejea taratibu taratibuKabisa wifi yangu mwambie huyo 🤣🤣🤣
Halafu wifi mbona umeadimika sana.??
Mwanaume mfukunyuku mpk kaharibu uzazi wa mpango wa mwenzie 🤣🤣🤣Njia ya uzazi wa mpango hiyo.....na hivo ukiiona unakuwa umeharibu.
Usipende kupekua vitu vya mkeo.
Urudi bana nakumiss huku jukwaani tuchachue watu 😂Kuna mambo yamenizonga my wiii.....ila narejea taratibu taratibu