Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

Sie wengine pedi na mambo yote yanayohusu periods ni issue za mume kuanzia kuzingatia kalenda, kununua pedi, kuzibandika ili tukitoka kuoga tukute zipo tayari kwenye chupi mpk kuzichoma tunapozitoa.

Sikwambii uige ila hakuna uchawi wowote, period sio kitu cha kukihusisha na ushirikina. Ni kama mwanaume kuota ndevu!
Anyways
Hata sijui ka naweza kukushauri kitu.
Ushauri wako umepokelewa
 
Niliwahi kusikia sehemu mwanamke akificha hivyo pedi moja bila kuonekana na mtu anakuwa hashiki mimba hata ikiwa siku ya hatari, akitaka kubeba mimba anaitoa, na ikionekana na mtu mwingine kama hivyo inakuwa haifanyi kazi tena... birth control ya mabibi wa enzi
Faida ya Wasichana waliochezwa!
 
Bora hata wewe uliiona kabatini mimi toka niwe na mke wangu mwaka wa 8 huu sijawahi kuiona ped yake anakoweka.

Wanawake wengi sana wanaojitambua ped na chupi zao wanapoanika huwez kujua au huwez kuona wamezitupa wapi sabab mtu mbaya akiishika tu ped yako umeisha kuanzia afya mpaka uzazi.

Na wengine huchukua ile ped ya siku ya kwanza ya mzunguko then anaifunga hapo utapiga hata miaka 6 hapati mimba siku akitaka mimba anaifungua ngoma imo na bahat mbaya ikipotea ikiwa imefungwa hapo atakufa hapo atakufa mgumba
Ndio nimekuwa puzzled sana asee, sijawahi kuona hiyo kitu used hata siku moja. Sijui wenzangu inakuwaje...
 
Siku moja nikiwa natafta ID yangu nilikutana na pedi ya mke wangu iliyotumika imetunzwa kwenye hand beg chumbani, nilishkwa butwaa sana. Nilichofanya ni kuipiga kiberiti, hakuwahi niuliza Chochote.

Sasa majuzi tena nimekuta ameweka nyingine, nimerudia zoezi la kupiga kiberiti japo sijamwambia chochote.

Wajuvi wa mambo, naomba ushauri kabla sijamwambia.
Muulize mhusika huenda huwa akitoka nje huwa anakosa mazingira rafiki ya kutupa sasa anaibeba ili arudi kuitupa nyumbani Kisha anasahau. Lakini ni vizuri ukamuuliza mhusika maana yeye ndio mwenye jibu sahihi,
 
Niliwahi kusikia sehemu mwanamke akificha hivyo pedi moja bila kuonekana na mtu anakuwa hashiki mimba hata ikiwa siku ya hatari, akitaka kubeba mimba anaitoa, na ikionekana na mtu mwingine kama hivyo inakuwa haifanyi kazi tena... birth control ya mabibi wa enzi
Kwahiyo hukuona majina yote mpk uibe langu???
Kuna watu mna mambo ya ajabu
Jamani huyu sio mimi ni dume gani sijui limeamua kujiita cute wife ili litrend jf
 
Back
Top Bottom