Colonialism
Member
- Jan 17, 2025
- 15
- 51
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.
Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.
Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.
Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .
Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo