Nyamwi255
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 4,848
- 12,776
Ndiooooo😄😄Si mnaona kabisa wenyewe kuwa ana tudanganya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndiooooo😄😄Si mnaona kabisa wenyewe kuwa ana tudanganya
Sasa wamuuliza nani km una la kusema Kaa kimnya au mwambie mwanamke mwenzio kaolewa na shetanihivi niseme nini?
[emoji3][emoji3] itakua kweli mkuu maana hata hajibu chochoteAsante kwa jioni ya leo View attachment 3205459
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.
Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.
Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.
Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .
Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Je,hapa ni suala la utaalamu au sheria?Ndoa ya miez 6 kitaalam Wewe Bado sio mke
Huwa ninashangaa mtu anapotaka ashauriwe kwenye mahusiano yake, kana kwamba sisi tunajua values zake, priorities zake, mipango yake, maisha yake, kipato chake nk.Pole dada,we fanya maamuzi unayoona yanafaa kutokana na tukio lililotokea
Yaani wewe ukiona mtu kainamishwa u najua ni Kinyume na maumbile? Kama alikuwa anachuma mboga wewe utajuaje?Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .
Kama hii story ni ya kweli basi ushauri wako ni wa kipumbavu sanaWaambie wazee mnaowaheshimu au wazazi wa pande mbili kama wapo ili wawe wapatanishi wenu,na mme akubari kwamba hatorudia,kabla ya hapo hakikisha mmeo kapimwa magonjwa ya zinaa.
Dah!Tuache Kwanza Huku kuna
Shika Achia Turudi Ligi Kuu
KweliHuwa ninashangaa mtu anapotaka ashauriwe kwenye mahusiano yake, kana kwamba sisi tunajua values zake, priorities zake, mipango yake, maisha yake, kipato chake nk.
Hii dunia ina mambo mengi, kila mtu anatafsiri yake na sababu zake za kuwa kwenye ndoa.