Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

huwa wanaanzisha nyuzi af wanajisahau [emoji3]
Sasa Hapo Nimedanganya Nini ? Kwenye huu Uzi pia nilisema Nipo kwny mahusiano japo tuna matatizo ya hapa na pale ? Kipi cha uongo hasa hapa ? kama huna cha kushauri mama kaa kmya
 
duh me mama tena mkuu [emoji849]
 
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
bad tupo utumwani colonialism
 
Nashauri utulie ulee mimba yako usije ukahatarisha maisha yako .mtoto na mume.Siku umetulia muyaongee kwa upole mtapata suluhu sawa.Pia natoa huduma ya maombi na ushauri nasaha wa mambo hayo njoo pm
 
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Aahh... Mbona hakuna shido... Mimi nikajua huyo Bosi wake ni mwanaume, labda shido ni huko kujirecord na huko kunanii kinyume.. vinginevyo mwanaume si wa mmoja
 
Hii kampeni ipi kimkaksti sana, karibia kila siku kuna kisa cha kueneza huu ushetani.
 
Mambo mengine ni ya kujitakia mwenyewe ungesubiri haya usingeyaona.
 
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Na Wewe unampa kinyume na maumbile!Tuanzie hapo kwanza.
 
Shida ni kuwa fictions zimekuwa nyingi sana, mtu akiamua kushauri anatumia mda wake kumbe imeletwa ya "hudhurungi" kabisa!!
 
Back
Top Bottom