Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

Siku hizi hatuhangaiki, ukiona umehujumiwa na wewe lipiza tu
Dawa ya moto ni moto
Sasa utakuwa unalipiziwa au unajilipizia.

Mwenzio katemea na wewe unaenda kutemewa. Kati ya anaetema na anaetemewa yupi hupata konyaaa?
 
Hali mbaya ya uchumi inayoshuhudiwa na nchi nyingi za Afrika inachukuliwa k_20250313_074210_0000.png
 
Ndo dunia ya sasa hivi dunia ya usaliti ukiingia kwenye ndoa tegemea hayo na ukisema uachane nae utaishia kuwa single mama, mwingine anakaba nafasi yako hio.
Ukiweza kaa kimya libebe kifuani mwako
 
Tunawaambia kila siku acheni kupekua simu za waume zenu hamsikii!..ukome
Hata usipopekua tu ipo siku utalazimishwa kupekua.
Mfano vocha imeisha unamuomba utumie simu yake inaingia message ya mchepuko
 
kama una uwezo wa kumuacha muache kama huna endelea kuvumilia usitusumbue sisi!
 
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Kwa sasa Mungu akusaidie utulie kwanza, usifanye maamuzi yeyote, jipe hata siku kumi za kutulia, japo sio rahisi ila Mungu akuwezeshe
 
Tulia TU. Hapo Bosi atakuwa anampa favour nyingi mumeo na nyie mtaishi vizuri
 
Back
Top Bottom