Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Nyamaza na mezea,kwa sasa leo hiyo mimba dada,umalaya kwa sisi wanaume huuwezi
 
P

Polee. Jifanye kama hujaziona kwaajili ya mwanao tumboni.
 
Wewe utakuwa umechanganyikiwa na maluelue ya ujauzito, usiamini video siyo yeye uliangalia kwa harakaharaka. Siyo yeye na usiguseguse simu yake siku nyingine.
 
Curiosity killed the cat
Mwana kulotafuta mwana kulipata
Fvck around found Out
ki-HEREHERE
 
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Hiyo ya kuomba kurushiwa picha ni kama sababu tu ya kujificha but lengo lako lilikuwa ni kukagua simu ya mumeo sasa unapoingia kwenye simu ya mtu bila ridhaa yake lolote unalokutana nalo huna haja ya kulalamikia umelitafuta mwenyewe kwa mikono 2 hivyo mshukuru mola tu 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
 
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo

Balthazar egonga Pro max
 
Utu uko wapi?
Hisia za mapenzi ziko wapi?
Waozeshaji wako wapi?
Maadili kazini yako wapi?
Namba za baba na mama kijacho ziko wapi?
 
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Ungemwomba simu akupe kwa hiari yake,hivyoulichokiona vunga kama hujui chochote hapo ikijidai kiherehere inaweza kiwa ndoa inaharibikia hapo na kulea mzigo utaubeba.
 
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Hiyo Video ni ya kabla au baada ya Ndoa?

NB: Umesema Ndoa ina miezi 6 tu hadi sasa.

Ushauri:

Kama ya kabla ya ndoa, penda ua na tunda lake

Kama baada ya ndoa, .............................
 
Chai hii na ni story ya kutunga
 
Mume haachwi kwa sababu ya kutoke.nje ya ndoa..

Kama ungekuwa umefundwa kama zamani walivyokuwa wanafundwa, moja ya kitu ungeambiwa ni "MWANAUME HASHIBI MWANAMKE MMOJA".

Sasa jichanganye.
 
Hii
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
HIi chai ni tatepa au alkasusu
 
Back
Top Bottom