Nimekuta video chafu ya ngono ya mume wangu na boss wake

Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Nicheki PM tumlipizie kisasi...
Na mie nipe Yass
 
Tunawaambia kila siku acheni kupekua simu za waume zenu hamsikii!..ukome
 
Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .
Una mwanasheria binti? Mumeo unampenda au ungependa aozee pale gereza la ukonga? Unajua kesi ya kumfira mtu ni miaka mingapi jela?
 
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Pole
 
Pole sana dada yangu kwa maumivu unayopitia. Najua hili ni jambo gumu mno, hasa ukiwa katika hali ya ujauzito. Lakini tafadhali, usifanye maamuzi kwa hasira au maumivu uliyonayo sasa.

Kwanza, jipe muda wa kupumzika na kutuliza akili. Najua ni rahisi kusema lakini jaribu, hata kwa siku chache. Pili, tafuta mtu wa karibu unayemuamini ili umweleze kilichotokea—hii itakusaidia kupunguza mzigo wa mawazo.

Baada ya kutulia kidogo, fikiria kwa kina kuhusu maisha yako na ya mtoto wako. Jiulize, je, unaweza kusamehe na kuendelea na ndoa hii? Kama huwezi, basi usilazimishe moyo wako. Lakini usifanye uamuzi wowote kwa haraka—usubiri mpaka akili yako iwe kwenye hali ya utulivu zaidi.

Pia, fikiria kuzungumza na mume wako ili upate majibu. Lakini kabla ya hapo, hakikisha umejiandaa kiakili kwa chochote atakachosema. Na zaidi ya yote, tafadhali linda afya yako kwa ajili ya mtoto wako. Msongo wa mawazo unaweza kukuathiri zaidi, hivyo tafuta njia ya kujituliza, hata kama ni kwa kuomba msaada wa mtaalamu wa kisaikolojia.

Wewe ni mwenye thamani na unastahili furaha. Chochote utakachoamua, kikufanye uwe na amani na maisha bora kwa ajili yako na mtoto wako. Nakutakia nguvu na utulivu katika kipindi hiki kigumu.
 
Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.

Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.

Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.

Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .

Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
kwa amani na faida ya ndoa yako nyamaza
 
..unaumia mumeo kumwingilia kwa mpalange bosi wake au usaliti?
 
Duuh
 
Mambo mengine ya kujitakia, you are on your own. Decide😎

Mumeo kakwambia subiri nakutumia. Umekiuka, umeyatafuta. Naamini ungemsikiliza usingeyakuta na wala asingekutumia. Usingejua badala yake wangeachana na maisha kuendelea.

Vinginevyo chukulia huo ni UFUNUO toka kwa MUNGU. Je, upo tayari kwa ufunuo??? Chukua hatua, na hatua zenyewe ni hizi....
1. Ongea nae yaishe muendelee na usamehe kabisa.
2. Mambo yaishie hapo kama hauwezi kusamehe
3. Mkapate ushauri nasaha kwa mchungaji, padri au sheikh wenu ili muendelee na maisha. Hili jambo huwa sio zuri sana. Ongeeni na Mungu wenu na sio wanadamu.
 
Back
Top Bottom