Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baltasar Engonga est Maladie 😁 😁 😁Dada ktk pita pita yako mitandaoni umewahi kukutana na hii sura?View attachment 3205450
Kama hapana basi mumeo ni mfuasi wa huyu jamaa ukitaka kunielewa kabla hujamuuliza hiyo kesi yako muonyeshe hii picha then muulize kama anamjua,atakachojibu rudi hapa tueleze.
Chagua kati ya hayaJaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.
Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.
Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.
Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .
Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Umesahau jana ulitueleza hivi:-Jaman Habari za Jioni . Kiukweli Nimechanganyikiwa Na akili yangu imefika mwisho kufikiri . Mimi ni Binti Nina umri wa miaka 27 . Nimeolewa na Ndoa yangu ina miezi Sita sasa . Na Mimi Nina Mimba Ina miezi Nne sasa.
Jana Jioni Nilimuomba Mume wangu kuna baadhi ya picha anitumie kwenye simu. Kwa Sababu alikua busy na kitu flani akasema Nisubiri. Imepita Kama Nusu saa Bado akawa busy. Nikaenda chumbani kulala nikakuta simu yake charge. Nikaamua Nijirushie zile picha mwenyewe.
Nirudishe masaa Nyuma Maana nilichokiona kitaniathiri maisha yangu yote. Nilipofungua gallery kwenye iPhone video au picha zilizopigwa recently zinakuwa mwanzoni. So kuna video sikuielewa nikaona niifungue.
Nikakuta Mume wangu na Boss wake ambaye ni mwanamke Wanafanya mapenzi wakiwa na nguo za kazi. Boss wake ni mama mtu mzima kamzidi mume wangu Umri . Na cha ajabu ni kwamba Mume wangu anamuingilia kinyume na maumbile .
Aiseee sijawahi kuumia kiasi hichi, Bado sijafanya Maamuzi yoyote Nimeishia kulia tu na Mimba yangu. Naomba mnisaidie kimawazo
Duh! Kusumbuana akili tuUmesahau jana ulitueleza hivi:-
Hii kitu inaitwa FATE/DESTINTY Ni kweli kwenye Mahusiano ?
Habari Wakuu , Natumai Mko poa . Moja Kwa Moja kwenye Mada . Kwenye Harakati za Maisha yetu ya kila Siku Unfortunately Jana Nikakutana na Ex Wangu . Actually Nilifurahi Kumuona coz Ukiachana na Kua Mpenzi wangu Hapo zamani Ila Alikua rafiki angu sana kwenye Mambo Mengine ya kimaisha ...www.jamiiforums.com
Hii ni chai