Nimekutana na Basi "Made in Tanzania", hongera Rais Samia Suluhu

Sio kwamba dereva aliye mafunzoni ndo “made in Tanzania”?
 
hizi ukienda Moshi mbona kawaida tu,unaweza sema Yu Tong/Marcopolo imehamishiwa uchagani
 
Mwongozo unasemaje maana wabunifu wengi hapa nchini hukutana na lungu la hawa jamaa wa miongozo.
 
Haya mambo nilifikiri yamekwisha kama si kupungua kumbe yapo bado??
 
Vp gharama za hilo bas toka kwa mtengenezaji Hadi kumfikia mnunuzi? Usikute ni ghali kuliko ata scania au Benz bus
 
Kongole kwa kazi mzuri ni hatua kubwa. Tusibeze tu kuwa made/assembled in Tanzania. Ifahamike tu hata Japan/China sio vifaa vyote wanatengeneza wenyewe. Kunavyo wanavyoagiza nchi zingine na kuunda gari zao.
 
Viwanda vyote vya magari duniani huwa ni assemblers tu. Wanasource vifaa mbalimbali vya magari kutoka kwa watengenezaji mbalimbali. Injini kutoka kwa huyu na suspension system kutoka kwa mwingine.
Nani kakudanganya? vipo baadhi ya vitu kidogo tu ndio wana source. Ila viwanda kama Toyota na wenzake, chassis, body, engine wanatengeza wenyewe in house halafu ndio kuna assembling point. Kunakuwa na department tofauti kila moja na kazi yake.
 
Mbona viwanda vinavyoteneneza basi hizo vipo... hapa kuna kitu tunaongopewa tunapoambiwa hii ndo basi ya kwanza sio kweli mbona dar coach anatengeneza hizo kila siku hapo wangesema kuwa hii ni kiwanda cha kutengeneza mabody na chases za basi kama dar coach tungeelewa basi nyingi za kunjunga zinatoka dar coach au yusufali board

Hizi picha hapa chini zote body tanzania na chases kasoro machine tu kwa maana ingini na gearbox
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…