Salaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Watutengenezee na mabasi ya mwendo kasi mengi sana ,ili mabilioni yanayoenda kwa wachina yabaki hapahapa nchini kwetuSalaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Kwa hiyo unaamini basi kama hili, lilitafitiwa, kuchorwa na kuundwa ktk kipindi cha miezi 6 iliyopita? Kwa nini usiwapongeze NIT badala ya Samia? Au unaamini yote ktk nchi hii yanaumbwa na muumba aitwaye Samia?Salaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Wizara ya Kilimo ilikataa Power tiller za CAMRTEC ili waagize na kupata 10%.Tumechelewa Sana , serikali zetu hazipo serious, viwanda vingi ni assembly.Kuna mvumbuzi wa body bajaji kasumbuliwa Sana miongozo na TBS.
Unshakika limetengenezwa au limeunganishiwa tozoniaBinafsi naweka akiba ya maneno yangu maana hawa ni CCM
Huu unafiki utatuua Watanzania. Yaani ndani ya miezi michache hiyo sifa zinakwenda kwa Maza. Hivi unajua hilo basi limechua muda gani mpaka kufikia hapo?Salaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Moshi ipi inaweza kuunda body ya bus kama hiyo au hizo Marcopolo unazosema? Moshi mahala pekee panaunda body za gari ni Rajinda Motors ambaye ni Argent wa TOYOTA naye ni kuongezea ukubwa wa hizi TOYOTA Landcruiser (Hardtop) kuwa Warbus kwaajili ya Tourist companies (Tours). Zaidi ya hapo ni garage za kawaida tu, na zingine ni zile za chini ya miti.hizi ukienda Moshi mbona kawaida tu,unaweza sema Yu Tong/Marcopolo imehamishiwa uchagani
HIVI KUNA MTU NI ZAWADI TOKA KWA SHETANI? NA MUNGU ANATUPENDA SAANA MAANA HATA KABLA YA JOGOO KUWIKA TULIAMBIWA NI ZAWADI TOKA KWA MUNGU, NA LEO TENA TUNAAMBIWA NI ZAWADI TOKA KWA HUYO HUYO. HIZI NI NYIMBO AU NGONJERA?Mama Samiah ni zawadi toka kwa Mungu
Made or assembled in Tz? basi tumesonga mbeleIndeed made in Tanzania
Hongera sana Rais SamiaSalaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Made in Tanzania or Assembled in Tanzania?Salaam Wakuu,
Nimeanza kukubali utendaji wa Raia Samia baada ya kufanya mambo kwa Vitendo. Siku chini ya 90 za Uongozi wake, tumenza kuona kwa macho ya nyama kazi zake au mwendelezo wa kazi za nyuma.
Hakika Watanzania sasa tunasonga mbele.
Hakuna aliyetekwa, hakuna aliyeuawa, hakuna aliyeshikiliwa, Wananchi wana Furaha na kazi inaendelea.
Tanzania tumebarikiwa na Mungu katupa upendeleo wa Viongozi.
View attachment 1813536View attachment 1813537
Mazingira wezeshi na rafiki ya uwekezaji na biashara,hakuna kupora a pesa saiziUngewapongeza watengenezaji kwani huenda Samia hata hajui hili. Kusifiana uongo zama zake zimepita.
Wazee wa legacy lazima wanune 😀😀Hongera sana mama yetu kipenzi Samia Suluhu Hassan kwa kuweka mazingira mazuri ya biashara na kurudisha imani ya wawekezaji.
Hicho kiwanda kimeanza kazi kipindi cha uporaji, hakuna kiwanda kipya ndani ya utawala mpya tusilishane matango poriMazingira wezeshi na rafiki ya uwekezaji na biashara,hakuna kupora a pesa saizi